Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
Ni kweli, lakini kumbuka hapo unatafuta suluhisho haufanyi kwa kupendaUnadhani nakosa wa kuchangamana nao? Sio mambo yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, lakini kumbuka hapo unatafuta suluhisho haufanyi kwa kupendaUnadhani nakosa wa kuchangamana nao? Sio mambo yangu
Changamana na mtoa mada anauhitaji zaidi kuliko Mimi mkuuNi kweli, lakini kumbuka hapo unatafuta suluhisho haufanyi kwa kupenda
Usijali, actually wala sikuwa nahitaji really hiyo kuchangamana na ww, don't take jf too seriously utakuwa unajiongezea tu hiyo depressionChangamana na mtoa mada anauhitaji zaidi kuliko Mimi mkuu
Hata mimi nimeshangaaHivi inakuaje mtu anakuwa na pesa harafu Bado anakosa namna ya kujichanganya ?
Mbona hainiingii akilin ....
Mim nikiwa na pesa Moja Kwa Moja nakuwaga na furaha,maana nakuwa na vibe hatari ,maneno kibao ,mikwala mingi ,maeneo yote niliyokuwa nahofia kwenda naenda na confidence hali ya juu,kila kitu naona nakimudu ,hata hamisa mobeto nikimuona namtongoza yaani hio ni vibe la kuwa na pesaaa tu hata laki Moja .......
Sasa nyie wengine Hadi mnapesa za magari et mna stress [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mengine naona mnajitakia wenyewe ...
Yaani kausha damu ndio anitoe roho Mimi,,,,thubutuuuuuuu,,,,atadai mpaka akauke damu yeye afe,Sijiui ng'oo😅😅😅Madeni na mikopo ya kausha damu
Binafsi Sina mchanganyiko sana na watu,Ila JF unanifanya maisha yangu Yana furaha sana,siboreki....jitahidi sana usikose bundle basiiiiKumbe hii hali Huwa tunapitia wengi.
Nahisi na wewe unatabia ya kukaa peke Yako peke Yako ukiwa huna shughuli ya kufanya.
Mimi nadhani Kwa kuwa tuna muda mwingi wa Kuwa peke yetu ndio tunapata muda wa kuwaza mambo ambayo hatuwezi kuyabadilisha.
Kuna muda natamani ningeweza kuchangamana na watu ila nilishashindwa
Pole mkuu
Duh hiyo coctail yako itageuka bomu.Pole boss naijua hiyo hali jana tu nimepitia mpaka nikahisi ndo basi nikasali mpaka sala ya kuungama zambi ila nimeamka asubui nashanga bado mzima nikashukuru
Nikavuta k vant kubwa na energy ya azam nikapoza moyooo..........
Upweke unatesa sana shida watanzania wengi hawana experience na hii hali lkn inatesa sanaHali kama hii imenitesa na bado inanitesa pia hata mimi, i've lots of resources ila amani ya Moyo haipo, nimepoteza ndugu muhimu, mdogo wangu anayenifuata alikuwa anasoma Nje na ndio tunakaa sana kushauriana kafariki kwa Ajali, akafata mjomba, yaani huyu ni zaidi ya Mshkaji nae amefariki karibu na ndugu kadhaa pia muhimu.
To me, marafiki out of my family cycle siwaoni kama wa maana and most of them ni wanafiki na wapo kimaslahi zaidi.
Binafsi najihisi upweke sana, siku moja niliwaza kabisa kujipiga risasi huwenda nitakutana na hao niliowapenda kama ndugu zangu.
Kwa sasa hatua nimechukua kwa kurudisha umiliki wa silaha.
Siwezi laumu mtu kujiua, nina experience na stress kama hizo na bado zinanitesa, hapa ndipo nimepata fursa ya kusemea as nimeona yupo mtu anayepitia hali kama hiyo.
pole sana mkuu.Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea
After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile
Jamii forums member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta
" bye bye"
Kwenye suala la kuokoa maisha, Mgonjwa habembelezewi dawa!Nikupatie namba ya mtaalamu wa therapy umuelezee akusaiidie?
Ni pm nikushauri I have lost my father Sasa sikuwa fresh until 2014 haikuwa rahisiNimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea
After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile
Jamii forums member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta
" bye bye"
Nasikia huwa wanatia presha sana 😅😅Yaani kausha damu ndio anitoe roho Mimi,,,,thubutuuuuuuu,,,,atadai mpaka akauke damu yeye afe,Sijiui ng'oo😅😅😅
Kinomaaa,,,,dawa yao wakutane vichwa ngumu ndio wanajua hawajui!Nasikia huwa wanatia presha sana 😅😅
Na wao ni vichwa ngumu pia. Chonde chonde usiingie kwenye 18 zao 😅😅Kinomaaa,,,,dawa yao wakutane vichwa ngumu ndio wanajua hawajui!