Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Changamana na mtoa mada anauhitaji zaidi kuliko Mimi mkuu
Usijali, actually wala sikuwa nahitaji really hiyo kuchangamana na ww, don't take jf too seriously utakuwa unajiongezea tu hiyo depression
 
Hivi inakuaje mtu anakuwa na pesa harafu Bado anakosa namna ya kujichanganya ?

Mbona hainiingii akilin ....

Mim nikiwa na pesa Moja Kwa Moja nakuwaga na furaha,maana nakuwa na vibe hatari ,maneno kibao ,mikwala mingi ,maeneo yote niliyokuwa nahofia kwenda naenda na confidence hali ya juu,kila kitu naona nakimudu ,hata hamisa mobeto nikimuona namtongoza yaani hio ni vibe la kuwa na pesaaa tu hata laki Moja .......

Sasa nyie wengine Hadi mnapesa za magari et mna stress [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hayo mengine naona mnajitakia wenyewe ...
 
Tatizo lako umeshalijua ila kwann sijui hutaki kulitatua.
 
Hata mimi nimeshangaa
 
Yani niwe napesa nabado niwaze kujiua daaah
 
Binafsi Sina mchanganyiko sana na watu,Ila JF unanifanya maisha yangu Yana furaha sana,siboreki....jitahidi sana usikose bundle basiiii
 
Duh hiyo
Pole boss naijua hiyo hali jana tu nimepitia mpaka nikahisi ndo basi nikasali mpaka sala ya kuungama zambi ila nimeamka asubui nashanga bado mzima nikashukuru
Nikavuta k vant kubwa na energy ya azam nikapoza moyooo..........
Duh hiyo coctail yako itageuka bomu.
 
Hali kama hii imenitesa na bado inanitesa pia hata mimi, i've lots of resources ila amani ya Moyo haipo, nimepoteza ndugu muhimu, mdogo wangu anayenifuata alikuwa anasoma Nje na ndio tunakaa sana kushauriana kafariki kwa Ajali, akafata mjomba, yaani huyu ni zaidi ya Mshkaji nae amefariki karibu na ndugu kadhaa pia muhimu.

To me, marafiki out of my family cycle siwaoni kama wa maana and most of them ni wanafiki na wapo kimaslahi zaidi.

Binafsi najihisi upweke sana, siku moja niliwaza kabisa kujipiga risasi huwenda nitakutana na hao niliowapenda kama ndugu zangu.

Kwa sasa hatua nimechukua kwa kurudisha umiliki wa silaha.

Siwezi laumu mtu kujiua, nina experience na stress kama hizo na bado zinanitesa, hapa ndipo nimepata fursa ya kusemea as nimeona yupo mtu anayepitia hali kama hiyo.
 
Upweke unatesa sana shida watanzania wengi hawana experience na hii hali lkn inatesa sana
 
pole sana mkuu.

unachotakiwa kujua ni kwamba no matter what happen don't give up. uhai ni zawad ya pekee ambayo MUNGU amempa mwanadamu lakini pia uwepo wa pesa siyo ukamilifu wa furaha ya mwanadamu hilo umelitambua sasa unatakiwa kufanya jambo moja...

itafute furaha.

mim nakushaur kuwa na malengo ya kuchanga pesa zako kadiri uwezavyo then nenda somewhere kanunue vya kununua vilivyo bora uwende kwenye vituo vya watoto yatima ukafurah nao hata kama wew siyo wa aina hiyo jaribu kujilazimisha...utakuja kunishukuru.

kwa kufanya hvyo naamini MUNGU atakufanyia wepes wa matitzo yako.
 
Nikupatie namba ya mtaalamu wa therapy umuelezee akusaiidie?
Kwenye suala la kuokoa maisha, Mgonjwa habembelezewi dawa!

Wewe sukuma hiyo namba pm umpe na maelekezo.
Mambo yakibana, mwenyewe atamtafuta.
 
Ni pm nikushauri I have lost my father Sasa sikuwa fresh until 2014 haikuwa rahisi
 
Yaani kausha damu ndio anitoe roho Mimi,,,,thubutuuuuuuu,,,,atadai mpaka akauke damu yeye afe,Sijiui ng'ooπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nasikia huwa wanatia presha sana πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…