Akina dada, vita vya nje ni vikali sana kuliko vita vya ndani ya ndoa

Akina dada, vita vya nje ni vikali sana kuliko vita vya ndani ya ndoa

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
1.Oooh Mimi siezi eka kikojoleo Cha mume wangu kwa mdomo,,my furendi nje huko wanamumunya hicho kikojoleo mpaka mumeo asikia ganzi kwa uume,,yaaani roho bariidiii kama Ambae ameekwa donge la barafu,,mpaka aguna peke yake,,akifika kwako akuona kama Jini vile juu alofanyiwa huko ameridhika hata Hana hisia na wewe akupa sababu ya kuchoka ama tumbo yauma

2.Hoo siwezi fanyiwa style za uchangudoa,,my furendi mumeo apewa styles deadly deadly mpaka kuku kapanda baiskeli,,yaani kama ni Doggystyle yaaani yapakuliwa kupakuliwa hata akifika home ukimpea kifo Cha mende afanya thuuu but kashatosheka alikotoka

3.Oooh mm siezi bembeleza mtu nilompata na meno yake 32 na manyoya ya Kila Mahali,,my dear furendi ,nje abembelezwa aoshwa,alishwa apanguswa mdomo kwa ulimi,,hata akifika ukimrushia chakula kwa meza na uende bedroom yeye yuala Thu kidogo Ili akuridhishe wewe lkn kashashiba

4.Mume wangu akija usiku simfungulii arudi alikotoka ,,rafiki wa karibu atarudi na afunguliwe mlango akaribishwe vizuri avuliwe viatu aambiwe pole mpenzi kwa kupata tabu usiku utakula chakula gani nikuandalie basi imagine saa nane usiku apikiwa wali nyama asindikishwe bafuni aoge apelekwe kitandani na kuambiwa usijali yatapita mpenzi nakupenda akikukwaza usichoke kuja nitakufariji,,

5.Ooh mbona akiongea ni nyamaze tutapelekana,rafikiii kule nje hata akianza kuuliza tu swali anaambiwa mpenzi usipoteze nguvu ya kuongea nimetambua kosa langu naomba unisamehe haitajirudia na ukumbuke apo kitandani uchi kama kazaliwa Leo vile,
jee mumeo ataendelea kuongea

Wamama nje huku Kuna watu wanapigana vita Ili waweze ku win heart ya mumeo so ukisema huezi fanya nje wanafanya na mwisho wa siku mume yuaenda huyooooo ukiangalia ubaki kulia kwani ni kipi sijakufanyia kumbe hukueka kikojoleo kwa mdomo,,hukumpea styles deadly deadly,,hukuomba msamaha ama kunyamaza wakati anaonge,,hukumfungulia mlango wakati amechelewa,na hukumbembeleza na kumuonesha mahaba

Rafikiii tujikazeni
 
Mada za CCm umeamua kuzipumzisha baada ya kuona mshono umekuzidia
IMG_1946.jpeg
 
Tiki tu bwashee , kama unapata pesa kwanini usifanye hivyo?
Sasa mkuu,pesa zimausiana vipi? Na ✔️. We tiki tu October,maisha ndiyo haya haya,kuridhika tu na ugali wako,inatosha,wanaoiba fedha na kujilimbikizia mali hawana akili kabisa,bidii kubwa zaid iwekwe kwenye elimu itakayoendana na jinsi ya kukabiliana na dunia ijayo!,mali hukwisha,walikuwepo akina mansa mussa,kiko wapi?hapa pana mchezo wa akili kubwa!
 
Fanya mapenzi Kwa starehe zako tu mkuu U enjoy basi,huko nje wanaliwa Hadi vinyeo sasa na Wewe uko tayari uliwe ili asiende nje kuvitafuta???
 
Kwanza ni kiswahili ya wap umeandika? Au ww sio mtanzania ni jiran yetu any way aliyekuambia mwanaume anaridhika nani?? Kitu Cha kushukuru na kuomba ni heshima na kuilinda na kuhudumia familia kwenye ndoa hayo mengine hatuwez zuia
 
Fanya mapenzi Kwa starehe zako tu mkuu U enjoy basi,huko nje wanaliwa Hadi vinyeo sasa na Wewe uko tayari uliwe ili asiende nje kuvitafuta???
KWamba vinyeo vinaliwa siku hizi?
tangu lini ? Ni wapi huko?
 
Kuna mmoja hapa Jambiani mmama alinikatia mauno na style flan hivi nikashangaa tu nko Hospitali ya Kitogani na drip mkononi. Sijui nilipiga bao ngapi pale
Wazanzibar watu wabadiii Kuna mzanzibarii mmoja soulmate ilikua inapigwaaa bundesliga tukimaliza tunaenda seria A mwisho kabisa tunamalizia LA LIGA.
 
Back
Top Bottom