1.Oooh Mimi siezi eka kikojoleo Cha mume wangu kwa mdomo,,my furendi nje huko wanamumunya hicho kikojoleo mpaka mumeo asikia ganzi kwa uume,,yaaani roho bariidiii kama Ambae ameekwa donge la barafu,,mpaka aguna peke yake,,akifika kwako akuona kama Jini vile juu alofanyiwa huko ameridhika hata Hana hisia na wewe akupa sababu ya kuchoka ama tumbo yauma
2.Hoo siwezi fanyiwa style za uchangudoa,,my furendi mumeo apewa styles deadly deadly mpaka kuku kapanda baiskeli,,yaani kama ni Doggystyle yaaani yapakuliwa kupakuliwa hata akifika home ukimpea kifo Cha mende afanya thuuu but kashatosheka alikotoka
3.Oooh mm siezi bembeleza mtu nilompata na meno yake 32 na manyoya ya Kila Mahali,,my dear furendi ,nje abembelezwa aoshwa,alishwa apanguswa mdomo kwa ulimi,,hata akifika ukimrushia chakula kwa meza na uende bedroom yeye yuala Thu kidogo Ili akuridhishe wewe lkn kashashiba
4.Mume wangu akija usiku simfungulii arudi alikotoka ,,rafiki wa karibu atarudi na afunguliwe mlango akaribishwe vizuri avuliwe viatu aambiwe pole mpenzi kwa kupata tabu usiku utakula chakula gani nikuandalie basi imagine saa nane usiku apikiwa wali nyama asindikishwe bafuni aoge apelekwe kitandani na kuambiwa usijali yatapita mpenzi nakupenda akikukwaza usichoke kuja nitakufariji,,
5.Ooh mbona akiongea ni nyamaze tutapelekana,rafikiii kule nje hata akianza kuuliza tu swali anaambiwa mpenzi usipoteze nguvu ya kuongea nimetambua kosa langu naomba unisamehe haitajirudia na ukumbuke apo kitandani uchi kama kazaliwa Leo vile,
jee mumeo ataendelea kuongea
Wamama nje huku Kuna watu wanapigana vita Ili waweze ku win heart ya mumeo so ukisema huezi fanya nje wanafanya na mwisho wa siku mume yuaenda huyooooo ukiangalia ubaki kulia kwani ni kipi sijakufanyia kumbe hukueka kikojoleo kwa mdomo,,hukumpea styles deadly deadly,,hukuomba msamaha ama kunyamaza wakati anaonge,,hukumfungulia mlango wakati amechelewa,na hukumbembeleza na kumuonesha mahaba
Rafikiii tujikazeni