Akina dada, vita vya nje ni vikali sana kuliko vita vya ndani ya ndoa

Wewe ndio kiongozi?
 
Hawa ndy vijana lissu anaowapambania reform zinaitajika
 
Kwanza ni kiswahili ya wap umeandika? Au ww sio mtanzania ni jiran yetu any way aliyekuambia mwanaume anaridhika nani?? Kitu Cha kushukuru na kuomba ni heshima na kuilinda na kuhudumia familia kwenye ndoa hayo mengine hatuwez zuia
Atakua ni mdigo huyu.🤣🤣 Kaka zao na dada zao wote wamelegea ulimi, kama sio mdigo aache ujinga 🤣🤣🤣
 
4.Mume wangu akija usiku simfungulii arudi alikotoka ,,rafiki wa karibu atarudi na afunguliwe mlango akaribishwe vizuri avuliwe viatu aambiwe pole mpenzi kwa kupata tabu usiku utakula chakula gani nikuandalie basi imagine saa nane usiku apikiwa wali nyama asindikishwe bafuni aoge apelekwe kitandani na kuambiwa usijali yatapita mpenzi nakupenda akikukwaza usichoke kuja nitakufariji,,
 
Unarudi umechoka unahitaji faraja,faraja hupati unakutana na makele!.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…