Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
... aliyemfanya mtu ni nani? Ndiye huyo aliyesema.Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
Baba na Mwanae wa Pekee ambae ndie atakuja kuwa mrithi wa vyoteAkina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
Majestic pluralAkina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
Mambo Muhimu Katika Aya Hii:Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
Hayo ni maandiko ya Wayahudi na wao hawaamini utatu Mtakatifu wa nafsi.Mambo Muhimu Katika Aya Hii:
Uumbaji wa Mwanadamu: Mwanadamu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu.
Mamlaka: Mungu alimpa mwanadamu uwezo wa kimamlaka vya kutawala viumbe vingine vyote duniani.
Umoja wa Mungu: Maneno "Na tumfanye" na "kwa mfano wetu" huashiria Utatu Mtakatifu yani Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
Yes natambua kuwa wayahudi wanaamini katila Mungu mmoja basi tuamini kuwa Mungu alikuwa anazungumza na Malaika, Wayahudi wanaamini Mungu alikuwa anashauriana na baraza lake la mbinguni la malaika ili kuwafundisha wanadamu unyenyekevu.Hayo ni maandiko ya Wayahudi na wao hawaamini utatu Mtakatifu.
Zaburi 82:1- “Mungu anasimama katika kusanyiko la Mungu; Anahukumu katikati ya miungu"Yes natambua kuwa wayahudi wanaamini katila Mungu mmoja basi tuamini kuwa Mungu alikuwa anazungumza na Malaika, Wayahudi wanaamini Mungu alikuwa anashauriana na baraza lake la mbinguni la malaika ili kuwafundisha wanadamu unyenyekevu.
Mkuu ulisema mwezi huu, tujiandae kwa mambo makubwa mbona kimya?Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
Kwan umeshaisha mkuu!?Mkuu ulisema mwezi huu, tujiandae kwa mambo makubwa mbona kimya?
Na kwann ufanywe... aliyemfanya mtu ni nani? Ndiye huyo aliyesema.
Uongo wa Mussa, Yule Mzee aliupiga fix sanaAkina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
Sijaelewa apa mkuuBaba na Mwanae wa Pekee ambae ndie atakuja kuwa mrithi wa vyote
Wewe ni shahidi?Baba na Mwanae wa Pekee ambae ndie atakuja kuwa mrithi wa vyote