Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
Sheria ya Musa,Unamaanisha nini kuyapokea kama yalivyo? Wakristo wengi hawasali Jumamosi/Sabato, wanakula kitimoto, Kambale, Pweza, Sungura, wanakataza kuoa wake wengi.
Wakristo wanafundisha kuna moto wa milele tofauti na Wayahudi ambao hawana mafundisho ya moto wa milele.
Unahis ina mashiko sana Kuliko Injili ya Agano jipya?