Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Sio uongo, ni mythologies. Hata sisi tulikuwa na za kwetu ila zilizidiwa na za Mashariki ya kati.Uongo wa Mussa, Yule Mzee aliupiga fix sana
Sio uongo, ni mythologies. Hata sisi tulikuwa na za kwetu ila zilizidiwa na za Mashariki ya kati.Uongo wa Mussa, Yule Mzee aliupiga fix sana
Au ni Canaanite pantheon (El Elyon, El, Baal, Asherah, Anat, Mot, Yam, Dagon)Mwalimu Nyerere na wenzake ,
Founding Fathers Of America ,
Your ancestors,
Your Parents,
Your Chiefs
Mbona panic mkuu,jibu Kwa hoja kama mm nilivyo sema Kwa hojaUkristo utakupa jibu la swali lako, ila kama wewe ni dini na imani tofauti, unachotafuta kinajulikana.
mtu anakanyaga jiwe anaacha nyayo igeandikwa ila wakaizima kienyeji tuSio uongo, ni mythologies. Hata sisi tulikuwa na za kwetu ila zilizidiwa na za Mashariki ya kati.
Mungu akiona mawazo kama haya, naamini anajutia kwa nini aliumba kimbe kisicho na maarifa kama hiki.Moja ya Tabia ya Mungu ni kuwa na partner ambaye wanafanana Akili (Fikra)
Mungu kapanga kutufanya wanabamu, miungu na kutawala pamoja nasi.
Sijapanic mkuu, nimekupa jibu la ufahamu. Nenda kausome ukristo na utajua kwa nini imeandikwa "na tumfanye mtu kwa mfano wetu"Mbona panic mkuu,jibu Kwa hoja kama mm nilivyo sema Kwa hoja
Hayo ni maandiko ya WayahudiSijapanic mkuu, nimekupa jibu la ufahamu. Nenda kausome ukristo na utajua kwa nini imeandikwa "na tumfanye mtu kwa mfano wetu"
Nasi wakristo tumeyapokea kama yalivyo na tunayaishi kiimani.Hayo ni maandiko ya Wayahudi
[3]Wala hapatakuwa na laana yo yote tena. Na kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo ndani yake. Na watumwa wake watamtumikia;Mungu akiona mawazo kama haya, naamini anajutia kwa nini aliumba kimbe kisicho na maarifa kama hiki.
Yaani Mungu hana uwezo wa kuagiza mambo yatendeke hadi awe na partiner tena mwenye uwezo kama wake? Mungu atusamehe kwa dhambi hii kubwa ya kumdhalilisha!
Baba na Mwanae wa Pekee ambae ndie atakuja kuwa mrithi wa vyote
Akikujibu ni tag mkuu!Nimegee apa madini mkuu, huu utatu unanipa ukakasi niweke sawa
Hivi mkuu, naHayo ni maandiko ya Wayahudi
Malaika ñi roho na moja ya kazi yao ni kumtumikia Mungu hawana miili ya kibinadamu , na wameumbwa na Mungu kama roho.Wengine wanasema malaika wameumbwa kwa moto na binadamu wameumbwa kwa udongo.
Isaya 55:8,9Mimi nikisikia mtu anamfanisha Yesu na Mungu naogopa sana kwani najua Mungu anakarika sana kwa kuwa ukuu wake unadhalilishwa
Yaani Yesu ambaye..
1. Alikuwa analala usingizi (Mungu anaye lala usingizi si mengi yanampita)
2. Anakula na kwenda choo kama sisi
3. Anakesha akimuomba Mungu amsaidie kutekeleza majukumu aliyopewa
4. Alikuwa akifunga na kusali huku akimuomba Mungu amwezeshe kutekeleza majukumu aliyokuwa amepewa
5. Yesu ambaye binadamu walimkosea, wakampiga hadi akafariki, na alikubali kupigwa hadi kufariki ili awasamehe? Hebu rudia kusoma hii kitu kwa akili yako na sio ya kukaririshwa.
Kiumbe mwenye sifa hizo mtu anaweza kumuita kuwa yeye ndiye Mungu KWELI?????
YESU ALISHATUONYA KUWA; WATU WANGU WATAKUJA KUANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA!!!
Labda Sayansi.Hivi mkuu, na
Atheist huwa mna maandiko yenu?
Wewe ni nani?Malaika ñi roho na moja ya kazi yao ni kumtumikia Mungu hawana miili ya kibinadamu , na wameumbwa na Mungu kama roho.
duh! manabii wenu? au ndo akina einstn...Ndio,
Sayansi.
Kila andiko la MUNGU lafaa kwa mafundisho!Labda Sayansi.
Atheism ni nini ? Maandiko huwa ni kwa ajili gani ?
Lakini hapo Mwana alikuwa bado kuwepoUmoja wa Mungu: Maneno "Na tumfanye" na "kwa mfano wetu" huashiria Utatu Mtakatifu yani Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
Unamaanisha nini kuyapokea kama yalivyo? Wakristo wengi hawasali Jumamosi/Sabato, wanakula kitimoto, Kambale, Pweza, Sungura, wanakataza kuoa wake wengi.Nasi wakristo tumeyapokea kama yalivyo na tunayaishi kiimani.