Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki

Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki

Mambo Muhimu Katika Aya Hii:

Uumbaji wa Mwanadamu: Mwanadamu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu.
Mamlaka: Mungu alimpa mwanadamu uwezo wa kimamlaka vya kutawala viumbe vingine vyote duniani.
Umoja wa Mungu: Maneno "Na tumfanye" na "kwa mfano wetu" huashiria Utatu Mtakatifu yani Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
Huo utatu kwenye bible umeandikwa kitabu gan?
 
Wakina nani hao?

Ni Utatu Mtakatifu:
Katika Ukristo, hii inaonyesha mazungumzo kati ya nafsi tatu za Mungu mmoja (Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu) wakishirikiana katika uumbaji.
Somo la utatu mtakatifu bado hata na ww hulielewi vizuri.

Kwahiyo unataka kusema Mbinguni yuko Mungu, na Yesu yuko pembeni?.
HAPANA.

Utatu ina maana mtu mmoja lakini kwenye nafasi tatu.
Kabla ya Yesu Kuja Duniani kulikuwa na roho wa Mungu. Na ndio Ilitanda juu ya uso wa Dunia.
Ina maana Mungu ana roho yake. Na ndio tunaiita Roho takatifu.

Kuzaliwa kwa Yesu. Ni roho ile ilishuka na kufanyika Mwana, ndio tunaita Mungu Mwana. (Sio kwasababu ni mtoto wa Mungu, ila kwasababu ya kuweza kutofautisha ni nani kazi gani hasa Ya Mungu unaiongelea).

Ndio Maana ya Utatu.
 
Zaburi 82:1- “Mungu anasimama katika kusanyiko la Mungu; Anahukumu katikati ya miungu"
Ni kama Tume kuitwa tume ya Raisi.
Sio kwamba tume yote ni Maraisi.

Hii ina maana Mungu anasimama katika kusanyiko ambalo Mungu yeye amelikusanya.
Na sio Kusanyiko pamoja na Miungu mingine.
 
Ni kama Tume kuitwa tume ya Raisi.
Sio kwamba tume yote ni Maraisi.

Hii ina maana Mungu anasimama katika kusanyiko ambalo Mungu yeye amelikusanya.
Na sio Kusanyiko pamoja na Miungu mingine.
Presidential commission ni tofauti na presidents.
Tume ya Rais sio sawa na marais au baraza la marais.
 
Ukristo utakupa jibu la swali lako, ila kama wewe ni dini na imani tofauti, unachotafuta kinajulikana.
 
Back
Top Bottom