Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
- Thread starter
-
- #21
Nimegee apa madini mkuu, huu utatu unanipa ukakasi niweke sawaWakina nani hao?
Ni Utatu Mtakatifu: Katika Ukristo, hii inaonyesha mazungumzo kati ya nafsi tatu za Mungu mmoja (Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu) wakishirikiana katika uumbaji.
Aaaaah! dakika za jion, mida ya kuku kuingia bandani. ok!Kwan umeshaisha mkuu!?
Mwalimu Nyerere na wenzake ,Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
Faith come by hearingWewe ni shahidi?
Kumbe fix toka long time ago zipo 🤪🤪Uongo wa Mussa, Yule Mzee aliupiga fix sana
FamilyFaith come by healing
... usingefanywa usingeanzisha uzi wako huu maana usingekuwepo.Na kwann ufanywe
Aya hii inaonyesha taswira ya Mungu akiwa amesimama kama Jaji Mkuu mbele ya baraza lake la mbinguni au viumbe wenye mamlaka.Zaburi 82:1- “Mungu anasimama katika kusanyiko la Mungu; Anahukumu katikati ya miungu"
Huo utatu kwenye bible umeandikwa kitabu gan?Mambo Muhimu Katika Aya Hii:
Uumbaji wa Mwanadamu: Mwanadamu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu.
Mamlaka: Mungu alimpa mwanadamu uwezo wa kimamlaka vya kutawala viumbe vingine vyote duniani.
Umoja wa Mungu: Maneno "Na tumfanye" na "kwa mfano wetu" huashiria Utatu Mtakatifu yani Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
"miungu"Aya hii inaonyesha taswira ya Mungu akiwa amesimama kama Jaji Mkuu mbele ya baraza lake la mbinguni au viumbe wenye mamlaka.
Somo la utatu mtakatifu bado hata na ww hulielewi vizuri.Wakina nani hao?
Ni Utatu Mtakatifu: Katika Ukristo, hii inaonyesha mazungumzo kati ya nafsi tatu za Mungu mmoja (Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu) wakishirikiana katika uumbaji.
Mungu na malaikaAkina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
nadhan ushalisikia hili neno.Huo utatu kwenye bible umeandikwa kitabu gan?
Ni kama Tume kuitwa tume ya Raisi.Zaburi 82:1- “Mungu anasimama katika kusanyiko la Mungu; Anahukumu katikati ya miungu"
Plural majestyAkina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
Aloo labdwa ww ndio umefanywa🤪🤪🤪... usingefanywa usingeanzisha uzi wako huu maana usingekuwepo.
Presidential commission ni tofauti na presidents.Ni kama Tume kuitwa tume ya Raisi.
Sio kwamba tume yote ni Maraisi.
Hii ina maana Mungu anasimama katika kusanyiko ambalo Mungu yeye amelikusanya.
Na sio Kusanyiko pamoja na Miungu mingine.
Wengine wanasema malaika wameumbwa kwa moto na binadamu wameumbwa kwa udongo.Mungu na malaika