Sheria ya Musa,Unamaanisha nini kuyapokea kama yalivyo? Wakristo wengi hawasali Jumamosi/Sabato, wanakula kitimoto, Kambale, Pweza, Sungura, wanakataza kuoa wake wengi.
Wakristo wanafundisha kuna moto wa milele tofauti na Wayahudi ambao hawana mafundisho ya moto wa milele.
Tofauti na Wasabato Kwa Wakristo wengi Sheria ya Musa haina mashiko kwao kuliko agano jipya.Sheria ya Musa,
Unahis ina mashiko sana Kuliko Injili ya Agano jipya?
Hata wasabato wameshikilia sheria baadhi tu, Torati ilikua na sheria nyingi sana.Tofauti na Wasabato Kwa Wakristo wengi Sheria ya Musa haina mashiko kwao kuliko agano jipya.
Ukisoma agano la kale malaika walikuwa na miili ya kibinadamu.Malaika ñi roho na moja ya kazi yao ni kumtumikia Mungu hawana miili ya kibinadamu , na wameumbwa na Mungu kama roho.
Hii ndio tatizo la kutafsiri semitic languages kwenda kwenye lugha nyingine.Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
Nimekuambia na elewa Yoda, nimeyapokea kama yalivyo, hata kama kuna tofauti ni chache tu. Usishupaze fuvu mkuu.Unamaanisha nini kuyapokea kama yalivyo? Wakristo wengi hawasali Jumamosi/Sabato, wanakula kitimoto, Kambale, Pweza, Sungura, wanakataza kuoa wake wengi.
Wakristo wanafundisha kuna moto wa milele tofauti na Wayahudi ambao hawana mafundisho ya moto wa milele.
Wakristo mmeibua fundisho jipya kabisa kubwa na muhimu la moto wa milele kwa waovu kutoka kwa maandiko ya Wayahudi ambayo hayana fundisho la moto wa milele kabisa.Nimekuambia na elewa Yoda, nimeyapokea kama yalivyo, hata kama kuna tofauti ni chache tu. Usishupaze fuvu mkuu.
Wewe fundisho lako linasemaje, au imani ya mababu zako inasemaje, au huna imani yoyote?Wakristo mmeibua fundisho jipya kabisa kubwa na muhimu la moto wa milele kwa waovu kutoka kwa maandiko ya Wayahudi ambayo hayana fundisho la moto wa milele kabisa.
Mababu zetu, Wayahudi sio mababu zako.Wewe fundisho lako linasemaje, au imani ya mababu zako inasemaje, au huna imani yoyote?
Dini ya Uyahudi illianzia katika polytheistic, ikaenda kwenye monolatry, ikaishia kwenye monotheistic.Kutokujua lugha za kisemitiki kumewafanya wakristo wengi kutafsiri aya za kitabu cha mwanzo kinyume kwa kuamini kuwa Mungu ana washirika katika uumbaji wake. Kitu ambacho si kweli na ni kufuru mbele ya Mungu.
Msingi wa imani ya kumpwekesha Mungu unapatikana katika kitabu cha kutoka sura ya 20...katika aya za mwanzo tu zinasema
"Mwenyezi-Mungu alizungumza maneno haya yote, akasema, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchini Misri, ambako ulikuwa mtumwa. “Usiwe na miungu mingine ila mimi. “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. "
Ni imani niliyorithishwa na wazee wangu, mababu zangu sikuwakuta, huenda ningewarithi wao.Mababu zetu, Wayahudi sio mababu zako.
SahihiNi imani niliyorithishwa na wazee wangu, mababu zangu sikuwakuta, huenda ningewarithi wao.
kuna post ya juu imejieleza zaidi mkuuLakini hapo Mwana alikuwa bado kuwepo
Malaika nao ni viumbe; kivipi waangalie uumbaji ambao ndio chanzo chao? Uumbaji ni exclusively kazi ya Mungu wala hakumshirikisha yeyote pamoja naye!Mungu Baba, Yesu, na Roho Mtakatifu. Malaika wao walikua wanaangalia uumbaji unavyofanywa.