Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

Br

bro, from nowhere okello awe mtangazaji Wa tukio kubwa kama Hilo? heavy to buy.
 
Br

bro, from nowhere okello awe mtangazaji Wa tukio kubwa kama Hilo? heavy to buy.
Mbuli...
Nani kasema alikuwa from nowhere?
Unakijua kisa cha Okello kuvishwa blanketing zito?

Soma kitabu cha Dr. Harith Ghassany, "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," pdf iko mtandaoni bure.
 
Mbuli...
Nani kasema alikuwa from nowhere?
Unakijua kisa cha Okello kuvishwa blanketing zito?

Soma kitabu cha Dr. Harith Ghassany, "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," pdf iko mtandaoni bure.
Bro, watawala walimtweza Okello kuhalalisha uhuni mkubwa walomfanyia wa kumpeleka Kenya na kumdampu huko bila fedha yoyote,kama wao waliogopa kwanini mtu ajitoe mhanga halafu afanyiwe hivyo au ni unyama wa mtu mweusi?na kama alikuwa mtangazaji tu kwanini walimpeleka Kenya,waliogopa kumfukuza hukohuko zenji huenda makomredi wasingekubali uhuni huo.
 
Kumbe Zanzibar ikitawaliwa na waarabu wa Uingereza ?? Maana ndiko walikokwenda kudai uhuru . Uongo na chuki ikizidi ni aibu tupu
 
Alitumwa na kanisa katoliki , baadaye kanisa likamwacha aubebe msalaba wake mwenyewe
Kwa hiyo wazanzibar walikuwa wapumbavu sana.... yaani walitumiwa mtu wa kuwasaidia na wakatoliki? Huoni unadhalilisha sana wazee wetu waliopambana kumwondoa mkandamizaji na mtawalawa wa watu weusi? Nyie wengine mnatetemeka sana kwa ngozi nyeupe. Lakini Mbabe Okello hakuogopa. Na wale waliokufa mashujaa watakumbukwa. Leo hii tunapata Serikali ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 
Hivi mkandamizaji hujamjua mpaka Leo hali hii ndiyo tulipokuwa nayo kabla Uvamizi wa Nyerere na kanisa lake. Soma kitabu cha Mwinyi, cha Jumbe, na Kwaheri Ukoloni , Kwaheri uhuru utamjuwa ni Nani mkandamizaji
 
Jagina acha mzaha watu walimwaga damu.
Siwezi kufanya mzaha kwani walikufa wazee na ndugu zetu , na kuibiwa Mali zetu eti waafrika wakombolewe sijui kutoka kwa Nani kwani Hao waliokufa wengi ni waafrika na akina Okello wamezidi kwani kila uchaguzi wanauliwa waafrika
 
Hivi mkandamizaji hujamjua mpaka Leo hali hii ndiyo tulipokuwa nayo kabla Uvamizi wa Nyerere na kanisa lake. Soma kitabu cha Mwinyi, cha Jumbe, na Kwaheri Ukoloni , Kwaheri uhuru utamjuwa ni Nani mkandamizaji
Wazanzibari wapumbavu hii Leo kwa kuwa ndio wanaowaongoza? Vipi bandari unakubali wapewe waarabu?
 
Siwezi kufanya mzaha kwani walikufa wazee na ndugu zetu , na kuibiwa Mali zetu eti waafrika wakombolewe sijui kutoka kwa Nani kwani Hao waliokufa wengi ni waafrika na akina Okello wamezidi kwani kila uchaguzi wanauliwa waafrika
Kiuhalisia Wazanzibari hawakupenda kumpindua Sultani.
Mapinduzi yalishinikizwa na kutekelezwa na watu wa bara.

Mzanzibari na Mwarabu ni Chanda na Pete.
 
Bahati nzuri au mbaya mimi si hata mtu wa kanda hiyo. Labda uwaguse Wagosi. We ni Mwarabu wa wapi?
Wewe ni wa kanda ya Mbowe? Vipi ikiwa wewe unaongozwa na mpumbavu, wewe utakuwa Nani ?Chizi mtoto wa Maarifa?🤣🤣🤣
 
Kiuhalisia Wazanzibari hawakupenda kumpindua Sultani.
Mapinduzi yalishinikizwa na kutekelezwa na watu wa bara.

Mzanzibari na Mwarabu ni Chanda na Pete.
 
Kiuhalisia Wazanzibari hawakupenda kumpindua Sultani.
Mapinduzi yalishinikizwa na kutekelezwa na watu wa bara.

Mzanzibari na Mwarabu ni Chanda na Pete.

Yalifanywa na Nyerere katika jitihada Zake Za kuupiga vita uislamu huku Zanzibar kwa kuwatumia ASP waliokuwa na uchu wa madaraka pamoja na makomredi . Na tunaona nini wamefanya na wanaendelea kufanya mpaka Leo , Nchi yote wameifisidi, humjui mwenye elimu wala asiye na elimu , watu wamekuwa wezi na matapeli. Humjui mwenye dini wala asiye na dini. Akili yote iko tumboni , kila mtu anahaha kwa ukali wa maisha. Mpaka watoto wa maraisi wanagombea kula. Laan tupu
 
kWANI HIVI SASA TUKO HURU ??

John Okello akitekeleza amri ya kanisa katoliki kama alivyoelekezwa na Padri Nyerere

View: https://youtu.be/iW2qHbTN7Pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…