Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

uongo mwingine Okello hakuwahi kufika Tanga,alitoka Mombasa akaenda Pemba.
 
Tena shida kweli kweli


Your browser is not able to display this video.
 
Kwanini amezimwa mazima? Wakati inasemekana yeye ndio aliyekuwa front
Alikuwa ni raia wa Uganda.

Alikuwa tishio kwa Karume

Ilionekana aliutaka Uraisi wa Zanzibar wakati sio Raia wa Zanzibar.

Alionesha dharau mbele ya viongozi wazawa kama Nyerere, Karume nk.

Alijivuna na kujiamini kwa kulewa sifa.

Nyerere akamtimua
 
Duh... !.
P
 

Nilishasoma hii habar

Wazanzibar wanaopwayuko leo hawakuweza chochote juu ya waarabu mpaka alipo kuja huyo jamaa kutoka uganda
 
Hakujikweza walikua wamewaandaa wanamapinduzi feki ambao siku ya mapinduzi walikuwa wamejifungia ndani chini ya vitanda.

Waliona ingekuwa aibu kwa mgeni kupewa ofisi namba 1 kwenye nchi ila kiuhalisia alistahili kutawala wangempa uraia tu kwani hata mtawala namba 1 hakuwa mzawa bali mhamiaji kutoka Malawi.
 
Alikuja jamaa amekaza makalio... Wao walikuwa wametepeta.
 
Alikuja jamaa amekaza makalio... Wao walikuwa wametepeta.
 
Mapinduzi yangefeli hawa wakina okelo wangeuliwa walijificha bara wangepona so walikwenda front line ndio mashujaa maana walijitoa sadaka
 
Huyu John alikuwa ni wa nchi gani? Alifikaje Zenj? Malizia story
Hii ndiyo SIASA YA TANZANIA. Shuleni tunaambiwa SHEIKH KARUME alileta MAPINDUZI kwa upande wa ZANZIBARI, lakini ukiwa uraiani tunasikia JOHN OKELLO anatajwa kila pahala.

Sasa ukiuliza JOHN OKELLO alikuwa ni nani? Wanakwambia alikuwa ni CARPENTER na CARPENTER kwenye MAPINDUZI YA ZANZIBARI anahusika vipi. Mimi na wengine hatufahamu.. 😂😂
 
Alikuwa ni raia wa Uganda.

Alikuwa tishio kwa Karume

Ilionekana aliutaka Uraisi wa Zanzibar wakati sio Raia wa Zanzibar.

Alionesha dharau mbele ya viongozi wazawa kama Nyerere, Karume nk.

Alijivuna na kujiamini kwa kulewa sifa.

Nyerere akamtimua
Duuh. Ameishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…