Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Umekimbia ugosini umejiripua mrundi au mrundi ulaya? Maana hata yanayoendelea huku huyajui au umekuwa real chizyViongozi si mnachagua wenyewe mnaowataka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekimbia ugosini umejiripua mrundi au mrundi ulaya? Maana hata yanayoendelea huku huyajui au umekuwa real chizyViongozi si mnachagua wenyewe mnaowataka?
Utumwa wa Nani ?Bora wangebakia utumwani wangekuwa na maendeleo
Viongozi si mnachagua wenyewe mnaowataka?
Hilo jina ndio shida
Kwanini amezimwa mazima? Wakati inasemekana yeye ndio aliyekuwa frontBaba wa Taifa la Zanzibar. Akumbukwe. John Okello.
Alikuwa ni raia wa Uganda.Kwanini amezimwa mazima? Wakati inasemekana yeye ndio aliyekuwa front
Duh... !.Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao.
Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari za Mwanamapinduzi aliyesaidia kuipatia Zanzibar Uhuru wake John Okello.
Kwa his disappointment alishtuka kuambiwa the Man alifukuzwa mara baada ya kumaliza jukumu lililomleta Zanzibar kuwaondoa Waarabu waliokuwa wakiitawala Zanzibar.Aliwaokoa Waafrika kutoka kutawaliwa walipopata tu uhuru wakamfukuza.
John Okello Baba wa Taifa la Zanzibar ataendelea kukumbukwa kila tutakapoadhimisha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baada ya hapo John Okello alirudi kwao kwenda kuendeleza mapambano dhidi ya udhalimu na hatimaye alikuwa kama mtu wa kawaida tu pasipo makuu. Hakulipwa yeye wala familia yake. Kabla ya Mwaka 1967 Che Guevara kufariki aliwahi mtumia mzee wangu barua akimtaka amtafute John Okello wajiunge naye kwenye harakati huko Msumbiji na Angola.
Mzee hakujua aanzie wapi.
Pia Soma Sasa ni wakati wa Zanzibar kumtambua baba wa taifa huru la Zanzibar John Okello
Huyu John alikuwa ni wa nchi gani? Alifikaje Zenj? Malizia story
Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao.
Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari za Mwanamapinduzi aliyesaidia kuipatia Zanzibar Uhuru wake John Okello.
Kwa his disappointment alishtuka kuambiwa the Man alifukuzwa mara baada ya kumaliza jukumu lililomleta Zanzibar kuwaondoa Waarabu waliokuwa wakiitawala Zanzibar.Aliwaokoa Waafrika kutoka kutawaliwa walipopata tu uhuru wakamfukuza.
John Okello Baba wa Taifa la Zanzibar ataendelea kukumbukwa kila tutakapoadhimisha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baada ya hapo John Okello alirudi kwao kwenda kuendeleza mapambano dhidi ya udhalimu na hatimaye alikuwa kama mtu wa kawaida tu pasipo makuu. Hakulipwa yeye wala familia yake. Kabla ya Mwaka 1967 Che Guevara kufariki aliwahi mtumia mzee wangu barua akimtaka amtafute John Okello wajiunge naye kwenye harakati huko Msumbiji na Angola.
Mzee hakujua aanzie wapi.
Pia Soma Sasa ni wakati wa Zanzibar kumtambua baba wa taifa huru la Zanzibar John Okello
Hakujikweza walikua wamewaandaa wanamapinduzi feki ambao siku ya mapinduzi walikuwa wamejifungia ndani chini ya vitanda.Wazanzibar wanaona nishai kwamba alitokea mjaluo mmoja toka Uganda akaja akawakomboa toka Kwa waarabu.
Niliwahi kusoma mahala kwamba baada ya Okello kuwafurusha wajomba zake Chief Hangaya, alipewa madaraka ya kiulinzi (sikumbuki exact jina la cheo) ila akaanza kujikweza sana hata akavuliwa mamlaka hayo ndipo akaakuamua kwenda zake Kenya.
Akumbukwe John Okello.
Mapinduzi yangefeli hawa wakina okelo wangeuliwa walijificha bara wangepona so walikwenda front line ndio mashujaa maana walijitoa sadakaWewe kila kitu umetafiti, vingi tu unasimuliwa na kuunda historia yako.
Okello ndiye jemedari wa mapinduzi hao wengine walishindwa kazi wakaishia kujigicha mafichoni wakisubiri mwanaume apige kazi.
Ugumu unakujia wapi ku appreciate kazi aliyoifanya okello na iko wazi kabisa.
Hii ndiyo SIASA YA TANZANIA. Shuleni tunaambiwa SHEIKH KARUME alileta MAPINDUZI kwa upande wa ZANZIBARI, lakini ukiwa uraiani tunasikia JOHN OKELLO anatajwa kila pahala.Huyu John alikuwa ni wa nchi gani? Alifikaje Zenj? Malizia story
Duuh. Ameishia wapi?Alikuwa ni raia wa Uganda.
Alikuwa tishio kwa Karume
Ilionekana aliutaka Uraisi wa Zanzibar wakati sio Raia wa Zanzibar.
Alionesha dharau mbele ya viongozi wazawa kama Nyerere, Karume nk.
Alijivuna na kujiamini kwa kulewa sifa.
Nyerere akamtimua