Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
majibu ya haya yatapatikana uwanjaniHiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.
Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
View attachment 2830249
sisi na watu wa cairo ni ndugu, utoh mtajuta hio keshoHiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.
Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
View attachment 2830249
walipata matokeo mabaya pale Ufiraunini, wanasema wanataka goli 2 tu hpa Dar kule kwao watamaliza kwa 3.Hiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.
Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
View attachment 2830249
aiseeeHiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.
Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
View attachment 2830249
Club iliyonifunga goli 5 ilifungwa goli 2 na Ihefu ambayo ipo mwishoni mwa msimamo wa ligi.Club number 1 imepigwa goli 5
Basi mjitokezee uwanjani, hatujui sababu gani mlisusa na kocha mkamuondoa just mechi moja tu.Kesho yanga jiwekeni sawa kiakili huo ni ukweli aisee kuifunga Simba ilikuwa bahati tu nyie kwa haya mashindano Bado ni underdog taka msitake
Washinde mtandaoni ukimaanisha nini?Iwe kweli ama la ila madhumni ya hayo maneno ni kuwafanya Young African washinde mitandaoni badala ya kujiandaa na mchezo husika.
Tukisema tutumie data za CAF bado tutachokiona huko kitapingana na walichosema Al Ahly?Toka lini Club ya Al Ahly ikawa mpanga viwango vya ubora acheni hizo nyie,,,,hapo wamewavimbisha mibichwa yenu ili kesho muwashangilie.
Kwani mind games haziwezi kusadifu kilicho kweli?Hizi ni mind games, sasa mlivyo mambumbumbu mmeruka nayo tu kwa kukosa akili.
Ulitegemea aisifu klabu anayoenda kukutana nayo ili morali iwe juu apate upinzani?
Haya maneno hata mabondia huongea, akili ndio mmekosa wenzetu.