Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Ila ktk source za CAF hizo hizo na macomentators walirefer wakati ya mechi ya nusu fainali na fainali ,Yanga ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza fainali ya michuano ya CAF (shirikisho),hatuja chukua kombe ila tuna medali ya mshindi wa pili kutoka kombe la shirikisho la CAF.

Ila ww unaijua hata nusu fainal ya michuano yoyote ya CAF?
 
Punguani maana yake amepungukiwa sio kama hana kabisa.

Asiyekuwa na akili maana yake yupo negative hana chochote

Na tukienda kukupa maneno ya Lucy Eymael tutakuja kugundua kilichosemwa na Manata ni cha kweli
Ndiyoo, dish kuyumba aka ukichaa ni kupungukiwa, make uhai bado upo 😂😂😂
 
Wewe nimekwambia wanafanya ivyo ili nyinyi muwaunge mkono wao
Kaizer Chiefs ambao walisema kuwa Tanzani wanaijua Simba pekee

Ilikuwaje waseme hivyo wakati kipindi tunacheza nao nyinyi mlienda kuwasapoti hadi kiongozi wenu?

Je kuna kauli yeyote ambayo ipo kama nukuu ikionesha Kaizer Chiefs wakiisifia Yanga ili Yanga waisapoti Kaizer Chiefs?

Ulisema Yanga wapinzani wanajua Yanga wana akili hivyo hawawezi kuisifia Yanga kwa lengo la kupata watu wa kuwaunga mkono

Vipi kuhusu Hersi kuvaa jezi ya Kaizer Chiefs kuwasapoti kwenye mechi yao dhidi ya Simba?
 
"Simba ni mabingwa mara SITA tu sio mara 22", basi okota na hiyo nukuu Mzee wa kuokoteleza. Umbumbumbu aka utaahira ni mzigo
 
Wakati wa upangaji wa plots za AFL hukusikia pia CAF wakitaja mafanikio ya Simba na moja wapo ni hiyo fainali?

Mbona humu kwenye uzi wa live tuliweka hadi screenshot ulikuwa wapi siku hiyo?
 
Hongereni kwa kupata kombe lingine kutoka kwa hao Al Ahly.
 
"Simba ni mabingwa mara SITA tu sio mara 22", basi okota na hiyo nukuu Mzee wa kuokoteleza. Umbumbumbu aka utaahira ni mzigo
Nyie ni kama wasanii wa bongo fleva wazee wa kuongeza namba.

Takwimu zinawaumbua na hakuna aliyeweza kupangua hizo hoja.

Waliojaribu walikutana na hoja nzito ambazo hawakutegemea unaweza kufuatilia hiyo thread vizuri.

Mna tatizo kwenye namba
 
Wakati wa upangaji wa plots za AFL hukusikia pia CAF wakitaja mafanikio ya Simba na moja wapo ni hiyo fainali?

Mbona humu kwenye uzi wa live tuliweka hadi screenshot ulikuwa wapi siku hiyo?
Hamna kitu kama hiko kama una video weka hapa? Kwani uzuri hata mimi niliona upangaji wa makundi.

Hebu msikilize commentator.

View: https://www.instagram.com/reel/CtEX14eKrG3/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==Wewe niwekee clip kama hii nahisi utakuwa ulisikia ww mwenyewe.Mzungu hajicontradict anaongea kwa data,huyo commentator sio Mpenja.
 
Nyie ni kama wasanii wa bongo fleva wazee wa kuongeza namba.

Takwimu zinawaumbua na hakuna aliyeweza kupangua hizo hoja.

Waliojaribu walikutana na hoja nzito ambazo hawakutegemea unaweza kufuatilia hiyo thread vizuri.

Mna tatizo kwenye nam

Nyie ni kama wachawi, waganga wa kienyeji wapiga ramli, Yanga kawakanda mara nyingi zaidi mbumbumbu mara zote walipokutana, Yanga ni bingwa mara nyingi zaidi wa nchi hii, haya sasa piga ramli au okoteleza takwimu zako za kiganga zinazoonyesha mbumbumbu kamfunga zaidi Yanga mara zote walipokutana.
 
Mara nyingi mara ngapi?

Nyingi zinaanzia mbili je na sisi hatuwezi kusema mara nyingi, Ihefu nao hawezi kusema mara nyingi?

Pitia thread ya uchambuzi wa Zakazakazi ujifunze vizuri maswala ya namba
 
Mara nyingi mara ngapi?

Nyingi zinaanzia mbili je na sisi hatuwezi kusema mara nyingi, Ihefu nao hawezi kusema mara nyingi?

Pitia thread ya uchambuzi wa Zakazakazi ujifunze vizuri maswala ya namba
Umekalia mara 42 mbumbumbu, hata ukijumlisha ushindi wenu na ihefu dhidi ya Yanga bado mko mbali sana.
 
Umekalia mara 42 mbumbumbu, hata ukijumlisha ushindi wenu na ihefu dhidi ya Yanga bado mko mbali sana.
Hiyo miaka kipindi ambacho Yanga ina nguvu ya kiserikali

Kiasili Yanga ni timu ya chama na kwa kipindi hicho hakukua na mfumo wa vyama vingi kwa hiyo Yanga ilikuwa ina identity za CCM

Hata saizi bado hizo chembechembe zipo
 
Wanataka kesho mkawashangalie nyie makolo
 
Unaelewa kilichozungumzwa hapo?

Ni jina la mashindano ndio key point

Kuwa tangu mashindano yaanze kuitwa jina hilo Yanga ndio timu pekee.

Awali hakukua na kitu kinachoitwa confederation Cup, kulikua kuna CAF Cup ambalo lilikuja kuunganishwa na winners Cup ili ku form confederation.

Hili swala lilishakuwa clarify muda mrefu

Credit ya picha: Lupweko
 
Labda kama wewe ndio umeshindwa kuelewa, kingereza kwangu hakijawahi kuwa tatizo.

Ulisema utaleta uthibitisho ndio na usubiria.....
 
Labda kama wewe ndio umeshindwa kuelewa, kingereza kwangu hakijawahi kuwa tatizo.

Ulisema utaleta uthibitisho ndio na usubiria.....
Ishu sio kiingereza ishu ni kuelewa, unaweza ukaambiwa hata kiswahili na bado usielewe na tatizo haliwezi kuwa lugha.

Kwani hujaona nimeweka screenshot hapo?
 
kwa mpira ule wamecheza morocco, yanga siwaamini tena kwa waarabu. naamini kesho wanaweza kupigwa mengi tu. ila nitaenda uwanjani kuwashangilia hivyohivyo.
 
Hili mbona liko wazi, Ranks za CECAFA, CAF na FIFA zinaonyesha hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…