Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

Mi nilifkr kuna mtu ametoka kuzimu ili kutupa mchongo of what is going on huko down , kumbe story tuuu....!!


Muwe mnaenda straight to the poit
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwaza hivyo pia mie. Kumbe ni story tyuuh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hapa nimeelewaa. Uko vizuri bibi.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanazama baharini, wanaliwa na papa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Yaani bora angesimulia aliyekufa tayari.
Hata akija ambae alishakufa bado utamkanusha na kusema kuwa si lolote bali ni uchawi tu.

Maneno unayoyaongea si mageni kabisa bali babu zako waliokwisha kufa hali ya kuwa ni makafiri waliyaongea sana kuwadhihaki waonyaji, sasa hv huko walipo wanatamani hata wapate sekunde moja warudi ktk maisha haya warekebishe makosa yao lakini wanashindwa.
 
Acha uongo wako wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
There is no next life when you dead is over, what left is memory of the people shared with you and some time they mind create a 3D picture and think the dead is awake to greet or punish for those who believe
Kwaio alodhulumu hapa duniani habari.ndo kwisha? hebu fikiria tena hilo swali hlf utafute.jibu
ikiwa duniani watu wanahukumiana je itakuwaje aliedhulumiwa hapa duniani na.hajapta haki yake ndo iwe imekwisha, hapanaa lazima awepo msuluhishi wa viumbe vyote ambae ni Allah
 
Aisee nimeelewa hiki ulichoandika.

Huenda ni kweli kuna nguvu fulani tusiyoijua, ila kuamini kua hakuna nguvu hiyo pia kunaleta mkanganyiko zaidi.

Binafsi naamini hiyo nguvu ipo ila tu ni jinsi ya kuifikia, historia iliyopo na kukua kwa utandawazi kunafanya ukweli upotee.

Na mpaka sasa naamini ukweli kuhusu hiyo nguvu unaweza kua si zaidi ya 50%. Kwasababu hapo kuna siasa, biashara, umaarufu na mengine mengi ya kupotosha.
 
Roho ina ubongo? Maana kwa uelewa wa binadamu ubongo ndio unahifadhi kumbukumbu na ukifa ubongo unaharibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…