Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

Dini ni nini?
 
Je na wewe usipoyakuta, utaujutia kiasi gani muda wako uliopoteza?
Sitaweza kujuta ni sawa na watu wawili walioambiwa waaandae chakula huko mbele safarini kutakuwa na njaa...mmoja akajiandaa kikamilifu na mwingine akapuuzia.

Kweli kufika safarini wakakutana na njaa kali, huyu mmoja atasalimika kwa kuwa alijiandaa na yule mwengine ataangamia kwa kuwa alipuuzia .

Na ikitokea hakuna njas basi huyu aliyejiandaa bado atakuwa hajapoteza kitu...win - win situation
 
Yaani duniani uamrishwe uabudu na peponi pia ukaabudu. Hivi unaijua nafsi ya binaadamu kweli? Ikiwa tu ilishindwa kuvumilia kula mana na salwa kule jangwani, chakula bora kabisa kutoka kwa Mungu ndio ikavumilie kufanya ibada mfulululizo huko mbinguni?!!!

Siku ya hukumu ni siku ya malipo, wema watalipwa kwa wema wao walioutenda na waovu watalipwa kwa uovu wao.
Wewe endelea kuwaza mambo ya mwilini wakati utaoza na Mungu ni Roho na wamwabudua wapaswa kumwabudu katika roho na kweli! Endelea kusubiria mabikra 72 wenye macho ya mviringo!
 
Hiyo ni majestic language ( lugha ya utukufu na ukubwa) hutumiwa na waarabu, na Quran iliteremshwa kwa lugha ya kiarabu. Mtu mwenye nguvu na utukufu hutumia nafsi ya kwanza wingi...SISI ( WE) au MIMI (I)
Naam, hutumiwa hata na Kiingereza. Hata Kiswahili kwa ambao lugha mama kwetu ni Kiswahili, tunatumia sana u sisi, sisi.sisi hatutumii Kibri cha u mimi, mimi, mimi.

Ni poyoyo asiyeyaelewa hayo. Hivi hawaelewi Uislam kuwa ni imani ya kuamini Mungu mmoja tu? Ni juha tu asiyeelewaa hilo. Tena kwa Mtanzania ndio namshangaa sana, kwani kila utapokuwepo Tanzania hutakosa kuisikia adhaan, kutwa mara tano ikitamkwa, na yote imelenga kati kukumbusha Mungu mmoja tu. La ilaha ila Allah.
 
Binafsi naamini uwepo wa nguvu ya ajabu inayoendesha vitu, naamini kuhusu uumbaji wa binadamu na vitu tuvionavyo na tusivyo viona, naamini kuwepo na purpose after death, I don't believe maisha ya mwanadamu yanakoma anapokufa, naamini kuhusu hukumu of whatever nature ila itakuwepo, naamini kuhusu vitu vingi sana navyo viona, na nisivyo viona pia!!

Dini can be a little confusing sometimes, sababu it narrows our focus of understanding greater things in life. Tunabaki kubishana, kwa mimi navyoona irrelevant things, kwa mtu mwenye akili ya kawaida tu after life haiwezi kuwa imejikitika kwenye ngono na wanawake mabikra, there must be a greater purpose than that. Ngono in after life ni indoctrination tu, just like suicide in the name of religion!! A motivation for people either to do good things or bad things!!
 
Mtu anaona kutokana na retina kubadilisha light kwenda kwenye biochemical ambazo husisimua ubongo na kupata picha kamili . Hamna hapo nafsi wala roho, ni biological process
 
Kiini cha hizo biochemicals ni nini? Unadhani zimejitengeneza tu randomly?
Mtu anaona kutokana na retina kubadilisha light kwenda kwenye biochemical ambazo husisimua ubongo na kupata picha kamili . Hamna hapo nafsi wala roho, ni biological process
 
I w
I wish msingekuwa biased ili muweze kusoma islamic literatures concerning the purpose of this life n the life after death (hereafter). Kuna mambo mengi sana ya kusisimua na kustaajabisha kuhusu ukubwa na utukufu wa ALLAH katika ulimwengu huo ujao.

Hata wanafunzi wa Mtume Muhammad pbuh walistaajabu baada ya kuambiwa kuwa the dwellers of the paradise watapewa wanawake 72 ambao jicho halijapata kuwaona wala nafsi haijapata kuwaza kuhusu uzuri wao, na pia walifikiria mbali zaidi ni vipi wataweza kuwaridhisha, ? Wakajibiwa kuwa mwanaume mmoja ndani ya pepo (paradise) atapewa nguvu za kiume sawa na za wanaume mia moja wa ulimwengu huu wa duniani.

Kuna malipo mengi mazuri huko peponi na kubwa zaidi ya hizo starehe zote za peponi ni kupata radhi za Mwenyezi Mungu, means you will be free to do watever you wish na pia wakazi wa peponi watapata nafasi ya kumuona MWENYEZI MUNGU ana kwa ana.

What a reward.!!!

Ukigeuka maisha ya motoni nayo kuna mambo ya kustaajabisha kabisa kuhusu adhabu kali n.k
 
Hamna life after death mzee baba all resource ulizotumia humu dunia the moment unakufa will be consumed by other organism ili zi support maisha humu duniani.
 
Hamna life after death mzee baba all resource ulizotumia humu dunia the moment unakufa will be consumed by other organism ili zi support maisha humu duniani.
Hakuna kufosiana katika masuala ya imani kila mtu aamini anavyotaka kisha tusubiri tuone mwisho wake nani imani yake itamponya. Uzuri ni kuwa maisha haya ya duniani ni mafupi sana soon wote tutakufa then tutapata majibu huko tuendapo
 
Vyuma vimeumana,ustaadh na ustaadhat
 
Hakuna kufosiana katika masuala ya imani kila mtu aamini anavyotaka kisha tusubiri tuone mwisho wake nani imani yake itamponya. Uzuri ni kuwa maisha haya ya duniani ni mafupi sana soon wote tutakufa then tutapata majibu huko tuendapo
Mimi sijakuforce nimekuwekea fact, kuforce ni kusema kuna multiverse lakini bado hatujaigundua au kuforce ni kuniambia kuna mbingu saba wakati tumeshaenda mpaka mbele ya soler system na hatujaona hizo mbingu
 
Mbele ya solar system gani uliyokwishafika wewe.?
 
Jua ,nyota ,mwezi na haya magimba yote unayoyaona angani yako katika mbingu ya kwanza.

Safari kuyoka mbingu moja kwenda mbingu nyingine ni umbali wa safari ya miaka 500 huku ukiwa unatumia kipando chenye kasi.
 
Ikiwa mwili utaoza ni kipi Kinachomfanya Firauni aliyejiita MUNGU asioze hadi leo karne na karne?
Firauni au farao alikua hawazikwi bali wanakushwa.ukienda misri sio farao mmoja aliyekaushwa yapo ma pyramid mengi tu ambayo yamehifadhi miili ya mafirauni waliokaushwa
 
Sayansi ipi imevikuta vitabu hivi ambavyo havina hata miaka 5000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…