Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana Magaidi kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel

Hivi kumbe Bado watu wapo usingizini hivi? Mimi ni mkristo(kkkt),lakini hii issue siangalii kidini hata kidogo....Niko upande wa haki. hizi hisia za kiimani ndo target yao mashetani ili tuwe upande fulani.nalaani Israel/US/West na ushetani wanaoufanya dhidi ya watu wasio na hatia.fatilieni mambo kiuhalisia acheni kuleta ujinga humu.
 
Al Jazeera ni wazee wa propaganda uhitaji elimu ya form 4 kujua, na vile wapelestina wanavyojua ku act waonewe huruma ndio kabisaa, eti watu 500 wtf!!

Wanaume wanaendelea kutoa ushahidi kwamba haya majinga yameua watu wao.
 
Hamdanganyi watu. Dunia nzima inajua Isreal. Wewe MKTT wa Mbagala unapiga porojo. Unafaidika na nini kuuliwa waislam?
tuseme israel kafanya hivyo je hiyo inahalalisha walichofanya hamas tarehe 07 mwez wa 10 huu?
 
Haiwezekani hamas kurusha kombora moja hamas wanarusha mvua ya makombora mzee,,iyo ni Israel imeamua kuwachonganisha wamepinpoint hospital makusudi
kama wameweza kugeuza gaza kuwa magofu je wanawezaj kukataa hii kama ni wao ndo wahusika , tumia akil yako vzr
 
Al Jazeera ni ya waarabu hivyo ni lazima ionyeshe uhalisia wa jinsi waarabu wenzao wanavyouliwa kinyama na wayahudi...Shida ipo kwetu tusio hata na chombo kimoja cha habari kinachotetea maslahi yetu katika global scale...kazi yetu ni ushabiki tu, tena kwa mlengo wa imported religions...mwafrika aamka...duniani huko kumekucha...
 
Lile bomu limechunguzwa limetengenezwa marekani na limetupwa kutoka kwenye ndege, hamas ana ndege? Na mkutano aliyoitisha biden jordan waarabu wamegoma kushiriki badala la kugundua ukweli huu , acha utoto muwe mnajielimisha kwanza kabla ya kupayuka
Aliyechunguza ni huyo huyo aliyesingizia kulipuliwa and kama ingekuwa ni air strike basi kungekuwa na shimo kubwa na hata hayo magari paking yangegeuka geuka na sio kupangwa yakiwa yameungua moto vizuri bila kubomoka wala kuwa vipande vipande ni aibu kubwa kwa news za kimataifa kudanganya Dunia kwa mtutu wa Hamas... hadi nimeichukia Al jazeera tv pendwa... niliposikia tukio mbio kutizama naona watu wanaigiza kwenda kule na kurudi kule Hospitali ipo nzima bomu kavideo kafupi kameunganishwa tofauti na hadithi kama ni hospital... Uongo mkuu wa Kigaidi
 
Mwenye dhiki ndiye atakayemtafuta tajiri.

Biden wala hajali kususiwa mkutano ana mambo mengi ya kufanya
Unadhani kwanini anahangaika hivi kama hajali au haina maslahi kwake?
 

Attachments

  • Screenshot_20231019-063136_Instagram.jpg
    88.3 KB · Views: 2
Huna mpya. Unachuki ndani ya moyo wako dhidi ya uislam na waislam
Una tatizo kubwa sana
Mimi nilimsahihisha mleta mada kwa kile alichoandika kwa kukurupuka kwake
Wewe ukaleta ya Afghan nikakuambia kimewarudisha biashara ya Opium na ndio walimaji wakubwa huko

Omba toba sana kwa dhana mbaya uliyonayo dhidi yangu
Uislam nimezaliwa na kukua nao na ninafuata misingi yote
Umeshuku tu ila sikuwa na nia mbaya kabisa
Uwe na siku njema
 
Haina faida kushabikia vifo vya watu.

Nawe kajifunze historia wapalestina siyo wote waislam. Wapo Hadi wakristo kama mke wa Yasser Arafat.
Hata Tarik Aziz aliyekuwa makamu waziri mkuu wa Iraq ya Saddam Hussein alikuwa mkristo.Ule mgogoro wa Israel na Palestina siyo wa kidini dini inatumika kudanganya wajinga ila kuigawa jamii ili kutimiza malengo ya Kila upande.Kuna waizrael wengi tu ni Wa islamu na wengine hawana dini.Jaribu kumsoma Moshe Dayan ,mmoja wa makamanda na mawaziri wenye kuheshimika ndani na nje ya Israel ,hakuwa na dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…