Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana Magaidi kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel

Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana Magaidi kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel

Wewe hao mabwana zako wa Israel kwani wanakulipa shilingi ngapi mana kila saa unaanzisha uzi hap JF kuwatetea..

Usiwapangie Aljazeera cha kuongelea kwenye media yao hiyo ndiyo media pekee ianyosema kweli katika media zote za maana hapa duniani..hizo nyengine ziko kama wewe muanzisha thread ambaye unasema bomu la hospitali limepigwa na Hamas lakini ndani ya moyo wako unajua unasema uongo!!!!

Ifikie mahali watu mumuogope Mwenyezi Mungu jamani hivi hamuoni hata aibu? Mjue hapa duniani mta escape kuhukumiwa kwa vile mnatetewa na wakubwa wa dunia lakini kumbukeni kuna siku ya kurudi kwa Muumba..
Hao waisarel na wewe mleta uzi wote mtaulizwa na mtalipwa kwa haya mnayozua
 
Yani mimi nashangaa sana! Et vile Waisrael walichinjwa ni sawa but sasa vile wapalestina na wao kuchinjwa basi ni uvunjifu wa amani haaaaaaa!

Mimi nasema hivi,Israel kama inaweza isafishe kabisa eneo la Gaza hata nzi asiwepo.
 
Kiufupi jamaa wana mrengo wa waarabu hivyo wako upande wa HAMAS hata kwenye mitandao ya kijamii accounts zao ziko ku-sympathize na waasi wa HAMAS.

Nimeacha kuwa nawaangalia mara kwa mara hasa katika coverage ya hii vita.
Watu wanadai ardh yao ww unawaita waasi shuwaini
 
Ni swala la muda kabla Aljazeera haijafurushwa Israel.

Hata safari ya Biden hawajafanya coverage

Hata tarifa za vifo wanachukua za HAMAS badala ya Gaza's Minister of Health. Baada ya mlipuko hospitalini vyombo vingi vua kimataifa vimeandika watu 200 wamekufa on spot, ila wao wakakomaa na 500 kwa source ya HAMAS.
 
Kwenye hii ishu ya jana waliozungumzia vizuri kwa kubalance story ni BBC tu, japo hawakuwa na exclusive footages na live feed kama ilivo kwa aljazeera. Bbc wamejitahidi sana kwa kweli.
 
Mwenye dhiki ndiye atakayemtafuta tajiri.

Biden wala hajali kususiwa mkutano ana mambo mengi ya kufanya
Ulimwengu wa kimataifa hauendi hivyo mkuu , asingepoteza muda kuandaa huo mkutano kama haumsaidii , kwasababu uwezo wa kuisafisha gaza asibaki hata mtu mmoja anao ila diplomasia haiendi hivyo kuna kukubalika kimataifa kwa marekani ni kitu kikubwa mno ndio maana hata anahangaika kutoa misaada nakadhalika, image ya marekani na heshima iliyojiwekea kama super power wanaithamini sana ndio maana unaona hata wanawapokea wakimbizi wa kipalestina kila siku marekani na wanataka raia wao wawe safe popote duniani wanapoenda
 
Proganda za media za magharibi hizo. Umezima nzima nzima. Kwani South Sudan wa dini gani?
Nani kakuambia ni south Sudan . Nakuambia Darfur. Na ni waislamu na sio leo hili ni tangu vita ya Sudan inaanza. Waarabu walianzisha kuua black na kuchukua maeneo yao.

Na wengi wao wamekimbilia Chad. Sasa nyie miafrica mmeona mwarabu anapigwa ndio mnaona binadamu kapigwa bure kabisa
 
Nani kakuambia ni south Sudan . Nakuambia Darfur. Na ni waislamu na sio leo hili ni tangu vita ya Sudan inaanza. Waarabu walianzisha kuua black na kuchukua maeneo yao.

Na wengi wao wamekimbilia Chad. Sasa nyie miafrica mmeona mwarabu anapigwa ndio mnaona binadamu kapigwa bure kabisa
Umesoma media za magharibi nini hizo?Waarab kutoka wapi?
 
Umesoma media za magharibi nini hizo?Waarab kutoka wapi?
Bro uwe unajiongeza basi. Kwahiyo RT nayo ni western media. Hawa rapid military wanaua watu tangu kuanza kwa vita ya Sudan hujui mzee. Au hao wakimbiz waliopo Chad nao huwaon. Google Mzee. Acha ushabiki
 
Hamdanganyi watu. Dunia nzima inajua Isreal. Wewe MKTT wa Mbagala unapiga porojo. Unafaidika na nini kuuliwa waislam?
Bro kama umechukia sana, kuna kamba hapa, sema shii nakuletea chap ili ukutana na israel mtoa roho
 
Back
Top Bottom