Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas.
Nachojua kwenye dini ile wote lao moja, iwe mwanahabari au kajamba wa mtaani, akishajiunga hiyo dini anakua zombi, na huwa nina wasiwasi sana kwa Pakistan kumiliki nyuklia maana humo mazombi ya dini yanaweza ingiwa na mzuka yakabonyeza.