#COVID19 Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

Mkuu kuhusu data, zimewasaidiaje USA, UK, Italy, France etc. Je, vifo nchini mwao vimepungua kwa sababu ya kuweka data? Au unaweka data kuweka hofu tu?
Yes. Unawapa data watu ili wapate hofu na wacheze kwa step. Nothing else.

Hao tested positive labda watashauriwa wakajiquarantine makwao ili kupunguza maambukizi mitaani

Sasa kama Magufuli na daktari Gwajima wake wameset bei ya kinyonyaji ya kupimia covid ($100) nani ataenda kupima kama hahitaji cheti kwa ajili ya safari?
 
Rais Magufuli ameongea ukweli mchungu!
Mbona Ukimwi hauna chanjo lkn dawa mnazipokea na kubwia kama lawalawa... si zinatoka kwa mabeberu hizo? Umewaza polio ingekua haina chanjo hali ingekiwaje? Hivi hata huwa mnasoma historia ya dunia na chanjo zilizopo zimesababishwa na nini?? Kwanini hapo begani kwako una chanjo ya ndui? Hyo mliigundua hapa hapa au ya mabeberu?
 
Kama mmethibitisha hizo chanjo zina madhara kwanini mpk leo watoto wanapigwa chanjo? Yaani its just a matter of time.. mtaleta chanjo hlf muanze kuziuza kwa bei ya madolari kama yote sijui mtakuja kufuta vipi huu usemi wako hapa.
 
Andiko bora kabisa hili. Nadhani Rais wetu ana roho mbaya sana na anatamani tufe sote. Shida kubwa ni katiba yetu inamuweka huyu mtu juu ya kila jambo
 
Wazungu wakitaka kutuua wanaweka kirusi kwenye 'condom tu'... Hehehehee sijui usiku mmoja tutazika wangap
 
Chanjo ya Covid ipo lakini ya ngoma hakuna...

Halafu hiyo ya Covid imekuwa developed chini ya mwaka tokea the outbreak...
 
Kwanini ukishachanja unaendelea kuvaa barakoa?

Samahani lakini!
John na wewe unakuwaga mweupe kichwani hivi? Ushaona wapi chanjo inajenga kinga immediately? Yaani ukichoma tu tayari mwili umetengeneza antibodies za kutosha??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…