Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni mjanja Mbaya.Tapeli Sio wa kumuamini hata kidogo mtapigwa tukio Waislamu. Keshaona mchongo wa pesa soon atalia mwarabu.
LiMunishi bado litata kwenye post zake mitandaoni.Hatimaye Malebo ameamua kuwa muumini. Mwenzake waliyekua wakipiga wote matukio ambaye baadaye akaja kuokoka na kuja kuwa muimbaji wa nyimbo za Injili kwa miaka mingi aitwaye Munishi, alimshauri sana aachane na maisha yale kamwe hakuwahi kuacha.
Ilifika mahala Munishi ambaye hivi sasa ni Mchungaji huko nchini Kenya,akatunga wimbo kwa ajili ya Alex Massawe uitwao Namlilia Malebo (Malebo ndiyo lilikua jina la kazi la Alex Massawe), akimtaka na yeye arudi kwenye dini na aokoke.
Hatimaye baada ya miaka mingi Alex Massawe ameamua kurudi kwenye dini ingawa si ile ambayo mwenzake alimuita, lakini kikubwa amerudi kundini.
View attachment 2695893
Wewe ni mpumbavu wa degree ya kwanza. UselessSema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwa sababu kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Huna loloteTungesikitikia sana, mtu anaetoka kwenye nuru na kuingia kizani.
Msimwamini sana huyu Alex wala msiamini katika Uislam wake, ni Mdhulumaji mkubwaNna Uislam, dogo hilo?
Uislam hatuhukumu kwa tusiyoyajuwa, tunahukumu kwa tunalolijuwa na hapo sote tunaona AM akishahadia rasmi.Msimwamini sana huyu Alex wala msiamini katika Uislam wake, ni Mdhulumaji mkubwa
Mtakuja kulia, labda kama amemaanisha kweli kweli.
Kama kweli hiyo Masawe kabadilisha Dini kwa haki,basi aje pia mwenyewe Tanzania amalizane na kesi zake kwa haki! Wengine huwa tunatumia jicho la tatu kuangalia Mambo!!Katazame sifa za aliokuletea Ukristo, paulo. uje useme sifa zake ni zipi na mbona unamfata mpaka leo?
Sifa mbaya zote anazo yeye, alikuwa muuwaji, muongo, mwizi, kambazi, nahisi hata kulawitiwa. Mbona hilo hulioni? Na mpaka leo mnaendelea kuufata uongo wake, hakuwa mtume na kampinga Yesu wazi wazi na kazipinga sheria zote za Musa (Mosaic laws), vipi nyinyi majuha nini?
Massawe kasilimu, maana ya kuwa Muislam ni kujisalimisha kwa mola Muumba wetu. Na Uislam ndiyo dini pekee na kimbilio pekee kwa yeyote. Mlitaka akimbilie wapi? akimbilie kuungama kwa jambazi paulo? au akimbilie kuungama kwa mapadri na maaskofu mashoga?
Unalifahamu sana,sema wajizima Data tu! Jamani msicheze na kitu Imani,Imani ni kitu kikubwa sana na siyo kila Mtu kajaliwa Imani!Hilo silifahamu na wala siwezi kulijibia. Ninalolifahamu ni hilo lililopo post namba moja na ushahidi wa video clip.
Huu uzi siyo wa mada za "kesi zake".Kama kweli hiyo Masawe kabadilisha Dini kwa haki,basi aje pia mwenyewe Tanzania amalizane na kesi zake kwa haki! Wengine huwa tunatumia jicho la tatu kuangalia Mambo!!
Hayo yote unayafahamu wewe, mada hii ni ya AM kusilimu.Mtoto wake Frank alioa binti wa kiarabu akabadilishwa dini na demu mwarabu .
Usikute baba nae amepata demu Mwarabu .
Alex na mtoto wake ni matajiri lakini kwa mbinu za ujanja ,utapeli , wizi nk Kwenye biashara za nyumba , magorofa, magari , madini ya Shaba nk
Alihama Tanzania na kuishi South Africa na Dubai .
Hao ni watu wa fursa wanafanya kila kitu kwa sababu na sababu kuu ni pesa na ulaghai
Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063Tungesikitikia sana, mtu anaetoka kwenye nuru na kuingia kizani.