Hii hoja yako mbona dhaifu sana ,Historia ya kale haikuhifadhi kila undani wa kila mkoa au kila kifaa cha muziki kilichotumika, na lugha zilizotumika zinapaswa kuchambuliwa kwa msamiati, sarufi, na muktadha wa kifalme., hebu leta hoja NZITO NZITO na ngumu, Mimi ndio nazipenda
Tafiti za paleography zinaonyesha kwamba maandiko ya Daniel yana muundo wa Kisemi, Aramaiki na Kiyahudi wa karne ya 6 KK, na haya yanalingana na rekodi zingine za kihistoria za Babeli.
Zaidi, Dead Sea Scrolls zinazothibitisha maandiko mapema ya Daniel haziungi mkono tu bali zinaonyesha kuwa maandiko hayo yalikuwepo mapema, hayakuandikwa kama kitabu cha baadaye cha kudanganya historia kama unavyodai .
Ushahidi wa kihistoria kutoka Mesopotamia, ikiwa ni pamoja na chronicles za kifalme, epigrafi, na matukio yaliyorekodiwa, unaendana kwa kiasi kikubwa na mlolongo wa Daniel, mlolongo wa wafalme, na matukio yanayoulizwa.
Kwa hivyo, hoja kwa Daniel au Dead Sea Scrolls ni ākuungaunga tuā inakufa kifo cha mende kwa sababu kuna uthibitisho wa kihistoria unaounganisha maandiko haya na matukio halisi.
Je, ukiangalia ushahidi wa kihistoria na akolojia, bado unaweza kudai kwamba Daniel ni āhadithi tuā?
Watu wa archeology hao wanakutana na vitu kama hivi ,halafu wewe unasema Daniel hakuwepošš
Ndugu jiandae ubatizwe tu
View attachment 3442419