Tjofauti na baharini.Hakuna anga ya kimataifa.Labda upite kule zinakopita satelite.Watatumia anga la kimataifa
Umemjibu vizuri ..kabisaTjofauti na baharini.Hakuna anga ya kimataifa.Labda upite kule zinakopita satelite.
Ukiondoa ubabe basi kwa ndege za mizigo huwa lazima zipite anga ambako wataruhusiwa na wenye nchi.
Anga la Aljeria ndio njia fupi kwa ndege kutoka Marekani kufika Israel.
Acha mzaha wewe. Israel ina rasilimali kama Congo!?
Hawa wanajitafutia matatizo tu, marekani unatakiwa umchukie moyoni sio wazi wazi namna hii
Porojo
Mnajipa matumaini sanaView attachment 2850460
Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space
Kwa msaada wa google:
Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga yao.
Safi sana الجزاير/Algeria💪🏽❤1🇩🇿
ishi na watu vizuri daima.Usichokoze wala usiwe jeuri.Tutafute amani zaidiii ya vita
Ndugu usifikiri zile nchi za ulaya na kwingineko wajinga Sana kuendana na matakwa ya marekani, hiyo nchi ukianza kuvurugana nayo utaambulia vikwazo vitakavyoumiza watu wako tu.Unadhani kila mtu ama taifa halina akili mzee...??
Umeongea vizuri tatizo la vikwazo ukishafikia hatua ya kuwekea nchi nyingi hadi zile super power kama russia basi unatengeneza mbadala wako na kuwafanya maadui wako waungane na kufanya biashara wao kwa wao na ile athari ya vikwazo inapotea na watu wengine wanapata ujasiri wa kukukabili kwa kuwa wanajua kuna option nyingine dhidi ya vikwazo kwa kuwa kuna kundil a kuungana nalo , na hii inafakiwa kwa kasi na ndio maana ulimwengu unapiga hatua kuelekea kwenye multipolar world order zama za unipolar zinaishia taratibu kwa sasa.Ndugu usifikiri zile nchi za ulaya na kwingineko wajinga Sana kuendana na matakwa ya marekani, hiyo nchi ukianza kuvurugana nayo utaambulia vikwazo vitakavyoumiza watu wako tu.
Acha USA ashupaze shingoUmeongea vizuri tatizo la vikwazo ukishafikia hatua ya kuwekea nchi nyingi hadi zile super power kama russia basi unatengeneza mbadala wao na kuqafanya maadui wako waungane na kufanya biashara wao kwa wao na ile athari ya vikwazo inapotea na watu wengine wanapata ujasiri wa kukukabili kwa kuwa wanajua kuna option nyingine dhidi ya vikwazo kwa kuwa kuna kundila kuungana nalo , na hii inafakiwa kwa kasi na ndio maana ulimwengu unapiga hatua kuelekea kwenye multipolar world order zama za unipolar zinaishia taratibu kwa sasa.
duh umejibu swal ?Wewe umejuaje hiyo taarifa?
sw wana macho ya chumaAlgeria sio bongo
Propaganda za kujifariji tu.View attachment 2850460
Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space
Kwa msaada wa google:
Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga yao.
Safi sana الجزاير/Algeria[emoji1434][emoji173]1[emoji1026]
Propaganda za kujifariji tu.
sw wana macho ya chuma
na vita mnaomba nyie iishe , mshachoka kuua si ndio ?Sawa myahudi mweusi, na wewe endelea kujifariji kuwa idf hawauawi
sijaona nlipobisha ila nmesema wana macho ya chuma kuona ndege ile ina silaha zinaensa IsraelUmeshaambiwa Algeria yazuia, bado una hoji! Wafuate basi ukawaulize!
Ww jamaa una jitia ujuaji wa kijinga lakini ni kilaza mzuri sijui hata elimu yako ni kiwango gani.sijaona nlipobisha ila nmesema wana macho ya chuma kuona ndege ile ina silaha zinaensa Israel
Mbona hivyo vikwazo vinawaumiza wao baada yakumuwekea RUSSIA?.Ndugu usifikiri zile nchi za ulaya na kwingineko wajinga Sana kuendana na matakwa ya marekani, hiyo nchi ukianza kuvurugana nayo utaambulia vikwazo vitakavyoumiza watu wako tu.