Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
- Thread starter
- #41
na vita mnaomba nyie iishe , mshachoka kuua si ndio ?
Kati ya mazayuni na hamas, ni nani ameomba vita isitishwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na vita mnaomba nyie iishe , mshachoka kuua si ndio ?
[emoji3][emoji3][emoji3]Ndege imezuiliwa angani jamani huko Afrika.
Labda ni kutokujua tu , anga la kimataifa lipo, na maji ya kimataifa yapoTjofauti na baharini.Hakuna anga ya kimataifa.Labda upite kule zinakopita satelite.
Ukiondoa ubabe basi kwa ndege za mizigo huwa lazima zipite anga ambako wataruhusiwa na wenye nchi.
Anga la Aljeria ndio njia fupi kwa ndege kutoka Marekani kufika Israel.
🤣 🤣 🤣Ndugu usifikiri zile nchi za ulaya na kwingineko wajinga Sana kuendana na matakwa ya marekani, hiyo nchi ukianza kuvurugana nayo utaambulia vikwazo vitakavyoumiza watu wako tu.
😄😄 Sisi watu weusi tuna matatizo yetu wenyewe ndiyo maana tupo hivi tulivyo. Ila Mimi naamini vikwazo walivyowawekea Iran, Korea kaskazini, urusi na China kwa kiasi lazima vinaathiri uchumi wao, ndiyo maana hizo nchi zinalalamika kutokana na hivyo vikwazo. Iran ikiondolewa vikwazo haitashikika kiuchumi na maendeleo ya teknolojia🤣 🤣 🤣
Ulaya na kina Japan wale makoloni ya us
UCHINA RUSSIA IRAN na KOREA wamepigwa vikwazo mbona raia wao hawaumii kama huko kwenu ambapo hamna kikwazo hata kimoja toka kwa hao United Shits Of Americant
Au nimekosea sheikhKunywa maji ya kutosha 😀
Wasaidiwe na nani huku wao ndo watengeneza silaha US.Kwahiyo unakataa israel haisaidiwi?
Itakua hufuatilii news, pole sana.Wasaidiwe na nani huku wao ndo watengeneza silaha US.
Na wote macomando waliorudi kufuta Gaza wametoka huko huko.
We unaongea pumba tu hapo na msuli wako huo.
Vikwazo vinaumiza halina ubishi ila ndio vinawafanya wajitambue[emoji1][emoji1] Sisi watu weusi tuna matatizo yetu wenyewe ndiyo maana tupo hivi tulivyo. Ila Mimi naamini vikwazo walivyowawekea Iran, Korea kaskazini, urusi na China kwa kiasi lazima vinaathiri uchumi wao, ndiyo maana hizo nchi zinalalamika kutokana na hivyo vikwazo. Iran ikiondolewa vikwazo haitashikika kiuchumi na maendeleo ya teknolojia
Upo sahihiAu nimekosea sheikh
Taarifa kutoka kwa marehemu Abu ubaidah, mnaangaika sana kumbe nimeamini Israel ndie kiboko ya magaidi ya kiislamu aise🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2850460
Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space
Kwa msaada wa google:
Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga yao.
Safi sana الجزاير/Algeria💪🏽❤1🇩🇿