Algeria yazuia Ndege ya Marekani inayosafirisha Silaha kwenda Israel kutoka anga yao

Algeria yazuia Ndege ya Marekani inayosafirisha Silaha kwenda Israel kutoka anga yao

Tjofauti na baharini.Hakuna anga ya kimataifa.Labda upite kule zinakopita satelite.
Ukiondoa ubabe basi kwa ndege za mizigo huwa lazima zipite anga ambako wataruhusiwa na wenye nchi.
Anga la Aljeria ndio njia fupi kwa ndege kutoka Marekani kufika Israel.
Labda ni kutokujua tu , anga la kimataifa lipo, na maji ya kimataifa yapo
 
Ndugu usifikiri zile nchi za ulaya na kwingineko wajinga Sana kuendana na matakwa ya marekani, hiyo nchi ukianza kuvurugana nayo utaambulia vikwazo vitakavyoumiza watu wako tu.
🤣 🤣 🤣
Ulaya na kina Japan wale makoloni ya us
UCHINA RUSSIA IRAN na KOREA wamepigwa vikwazo mbona raia wao hawaumii kama huko kwenu ambapo hamna kikwazo hata kimoja toka kwa hao United Shits Of Americant
 
🤣 🤣 🤣
Ulaya na kina Japan wale makoloni ya us
UCHINA RUSSIA IRAN na KOREA wamepigwa vikwazo mbona raia wao hawaumii kama huko kwenu ambapo hamna kikwazo hata kimoja toka kwa hao United Shits Of Americant
😄😄 Sisi watu weusi tuna matatizo yetu wenyewe ndiyo maana tupo hivi tulivyo. Ila Mimi naamini vikwazo walivyowawekea Iran, Korea kaskazini, urusi na China kwa kiasi lazima vinaathiri uchumi wao, ndiyo maana hizo nchi zinalalamika kutokana na hivyo vikwazo. Iran ikiondolewa vikwazo haitashikika kiuchumi na maendeleo ya teknolojia
 
Wasaidiwe na nani huku wao ndo watengeneza silaha US.
Na wote macomando waliorudi kufuta Gaza wametoka huko huko.
We unaongea pumba tu hapo na msuli wako huo.
Itakua hufuatilii news, pole sana.

Pamoja na kusaidiwa kwao lakini wameshindwa kupambana na jeshi la Al-Qassam Brigades. Siku 4 zilizopita mpaka hiyo jana, tumeshauwa wanajeshi 48.
 
[emoji1][emoji1] Sisi watu weusi tuna matatizo yetu wenyewe ndiyo maana tupo hivi tulivyo. Ila Mimi naamini vikwazo walivyowawekea Iran, Korea kaskazini, urusi na China kwa kiasi lazima vinaathiri uchumi wao, ndiyo maana hizo nchi zinalalamika kutokana na hivyo vikwazo. Iran ikiondolewa vikwazo haitashikika kiuchumi na maendeleo ya teknolojia
Vikwazo vinaumiza halina ubishi ila ndio vinawafanya wajitambue
Nakuhakikishia iran kama isingekua vikwazo alivyoekewa na hao west angekua kama nchi zetu hizi
Sababu angejiachia angeona WB IMF EU US JAPAN KOREA INDIA CHINA AUSTRALIA nk wanaleta misaada angebweteka
Sasa watu wamemtia vikwazo na msaada hapati anaona hapa nikikaa kaa kizembe watu wangu watakufa njaa maradhi nk nk nk
Lini uliisikia iran inaomba msaada raia wake wanakufa njaa au iliomba msaada wa matundu ya vyoo
Iran vikwazo vimeifanya iwe imara kuliko isingekua na vikwazo
 
View attachment 2850460

Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space

Kwa msaada wa google:
Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga yao.

Safi sana الجزاير/Algeria💪🏽❤1🇩🇿
Taarifa kutoka kwa marehemu Abu ubaidah, mnaangaika sana kumbe nimeamini Israel ndie kiboko ya magaidi ya kiislamu aise🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom