Algeria yazuia Ndege ya Marekani inayosafirisha Silaha kwenda Israel kutoka anga yao

Algeria yazuia Ndege ya Marekani inayosafirisha Silaha kwenda Israel kutoka anga yao

Unadhani kila mtu ama taifa halina akili mzee...??
Ndugu usifikiri zile nchi za ulaya na kwingineko wajinga Sana kuendana na matakwa ya marekani, hiyo nchi ukianza kuvurugana nayo utaambulia vikwazo vitakavyoumiza watu wako tu.
 
Ndugu usifikiri zile nchi za ulaya na kwingineko wajinga Sana kuendana na matakwa ya marekani, hiyo nchi ukianza kuvurugana nayo utaambulia vikwazo vitakavyoumiza watu wako tu.
Umeongea vizuri tatizo la vikwazo ukishafikia hatua ya kuwekea nchi nyingi hadi zile super power kama russia basi unatengeneza mbadala wako na kuwafanya maadui wako waungane na kufanya biashara wao kwa wao na ile athari ya vikwazo inapotea na watu wengine wanapata ujasiri wa kukukabili kwa kuwa wanajua kuna option nyingine dhidi ya vikwazo kwa kuwa kuna kundil a kuungana nalo , na hii inafakiwa kwa kasi na ndio maana ulimwengu unapiga hatua kuelekea kwenye multipolar world order zama za unipolar zinaishia taratibu kwa sasa.
 
Umeongea vizuri tatizo la vikwazo ukishafikia hatua ya kuwekea nchi nyingi hadi zile super power kama russia basi unatengeneza mbadala wao na kuqafanya maadui wako waungane na kufanya biashara wao kwa wao na ile athari ya vikwazo inapotea na watu wengine wanapata ujasiri wa kukukabili kwa kuwa wanajua kuna option nyingine dhidi ya vikwazo kwa kuwa kuna kundila kuungana nalo , na hii inafakiwa kwa kasi na ndio maana ulimwengu unapiga hatua kuelekea kwenye multipolar world order zama za unipolar zinaishia taratibu kwa sasa.
Acha USA ashupaze shingo
 
sijaona nlipobisha ila nmesema wana macho ya chuma kuona ndege ile ina silaha zinaensa Israel
Ww jamaa una jitia ujuaji wa kijinga lakini ni kilaza mzuri sijui hata elimu yako ni kiwango gani.
Kwahiyo ww unadhani ukijisikia tu unapitisha ndege kwenye anga ya nchi nyingine?
Ndege inapo pita kwenye anga ya nchi nyingine ni razima ijulikane inapita kwa madhumuni gani ,imebeba nini,na inaenda wapi .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom