Amani ya Mungu
Member
- Sep 1, 2011
- 47
- 95
Press ya Yanga muda huu,
Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita.
"Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita, maana tumechekeana sana na hizi taarifa zifike kwenye ofisi za Mtendaji Mkuu wa TFF"
UFAFANUZI WA CRDB > TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha Baada ya CRDB kumjibu msemaji Wa Yanga SC Kuwa pesa walishatoa