Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

aaah 🤣 🤣 🤣 , sema nawasupport msimu ujao ratiba ifuatwe na sheria zifuatwe nadhan hii ni mara ya 2 dabi inapigwa kalenda
 
huu ni upuuzi na hasira za kishamba zisizo na mantiki yoyote......utoto na ujinga umewajaa hawana hoja wamejawa na mihemko tu,
yaani bodi ya ligi inaundwa na vilabu zaidi ya 30 isumbuliwe na mmoja tu..hii nayo ni cheka tu
 
huu ni upuuzi na hasira za kishamba zisizo na mantiki yoyote......utoto na ujinga umewajaa hawana hoja wamejawa na mihemko tu,
yaani bodi ya ligi inaundwa na vilabu zaidi ya 30 isumbuliwe na mmoja tu..hii nayo ni cheka tu
Uto wana hoja, wasikilizwe.
 
Hawa wahuni wanatumia mabavu ikiisha Simba nao watatumia mabavu ,,tutakua tunafanya kazi Gani? Upumbavu tu
Kaka umeona mbali,Hawa yanga wanadhani watanzania ni wajinga hivyo,TFF na bodi ya ligi wakamilishe maandalizi ya mchezo Kisha wawape simba points 3,wasipoenda mbeya wawape tz prison points zao Kisha wafumbe macho
 
Press ya Yanga muda huu,

Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita.

"Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita, maana tumechekeana sana na hizi taarifa zifike kwenye ofisi za Mtendaji Mkuu wa TFF"

Taarifa zaidi inakuja
Hata mje na matamko mia nane tuna jua mna tumiwa kulemaza kitu msicho kiweza
NO REFORMS NO ELECTION
 
Tupo tumekaa pale , kama hamjashuka daraja kiutani utani fanyeni kweli. Huwezi kubishana na mamlaka za soka. CAS wamewakataa nguvu ya kugoma mnaitoa wapi!?

Tupo tumekaa pale , kama hamjashuka daraja kiutani utani fanyeni kweli. Huwezi kubishana na mamlaka za soka. CAS wamewakataa nguvu ya kugoma mnaitoa wapi!??
Kampeni ya Yanga Kwa Sasa ni kusafisha pale TFF na bodi ya ligi
Baadae tutakuja kuwafunga Simba katika tarehe ambayo tutapanga sisi
Hakuna mbwa yoyote wa kuipoka Yanga points
 
Tunasubiria comeback ya TFF.
Ila Crdb nao waache uzinguaji. Benki kubwa ilaleta ujanja janja.

Wasiseme wamewapa tff wanaakaunti za yanga mzigo ulipaswa kusoma.

Hii kesho tu yanga wanapewa chao.
 
Back
Top Bottom