Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

Hiki kikundi cha wahuni kinaongozwa kwa utoto mwingi sana, aliesema hawana akili timamu haku watukana ila alisema ukweli
 
huu ni upuuzi na hasira za kishamba zisizo na mantiki yoyote......utoto na ujinga umewajaa hawana hoja wamejawa na mihemko tu,
yaani bodi ya ligi inaundwa na vilabu zaidi ya 30 isumbuliwe na mmoja tu..hii nayo ni cheka tu
Ishu sio kusumbuliwa na mmoja, wanayodai yana mantiki au hayana??, na una uhakika gani kwamba ivo vilabu vingine isipokuwa simba wanaridhishwa na mwenendo wa karia na genge lakę??, kama hawana nguvu ya kusema basi acha Yanga awasemee wengine kwa maslahi ya mpira wa TZ
 
huu ni upuuzi na hasira za kishamba zisizo na mantiki yoyote......utoto na ujinga umewajaa hawana hoja wamejawa na mihemko tu,
yaani bodi ya ligi inaundwa na vilabu zaidi ya 30 isumbuliwe na mmoja tu..hii nayo ni cheka tu
We nae unaongea kwa mihemko tu sijui ndo unajichomoa fyuzi.

Kwani hujui Watanzania wamegawanyika kwenye Usimba na Uyanga au nalo hujui.

Kwenye hiyo bodi ndio ni viongozi wa timu mbalimbali lakini ndani yao ndo ile mimi ni Simba au mimi ni Yanga na hapo ndo inakuja kuathiri maamuzi ya bodi kama walichofanya hiyo bodi yako ya kipuuzi
 
Simba anawaza kuvuka makundi mashindano ya Africa msimu ujao. Mo na pesa za club bingwa tena sidhani kama ana muda na drama zisizoingiza fedha. Hapa sijaongea kama shabiki.
Na hiki kitu kinawauma saanaa. Kama namuona Mzee Dalali 'kudadadeki'😁😁😁😁
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Mbona pesa za caf msimu mlipo shika nafasi ya 2 hazijalipwa na timu mkapeleka
Hivi umefuatilia vizuri haya mambo?
Kwamba hawakulipwa hadi timu zilipofikia hatua ya fainali msimu uliofuata?
Mambo mengine mnajiabisha.
Bora kunyamaza kuliko kuongea kitu ukawapa watu nafasi ya kutilia shaka uwezo wako wa kuchanganua mambo.
 
huu ni upuuzi na hasira za kishamba zisizo na mantiki yoyote......utoto na ujinga umewajaa hawana hoja wamejawa na mihemko tu,
yaani bodi ya ligi inaundwa na vilabu zaidi ya 30 isumbuliwe na mmoja tu..hii nayo ni cheka tu
Wanufaika wa udhalimu wa tff na bodi namna mnavoweweseka
 
Nimeamini Yanga inahujumiwa na TFF.. kumbe CRDB walishatoa mpunga kwa Yanga kupitia TFF lakini wakauminya kimya kimya!
 
𝐂𝐑𝐃𝐁 𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐧𝐢 𝐓𝐅𝐅 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐩𝐨𝐢𝐧𝐠𝐢𝐚 𝐦𝐤𝐚𝐭𝐚𝐛𝐚 𝐁𝐞𝐧𝐤𝐢 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐭𝐨𝐚 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚 𝐅𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐚 𝐁𝐚𝐣𝐞𝐭𝐢 𝐲𝐚𝐨 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚 𝐤𝐮𝐡𝐮𝐬𝐢𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐚𝐧𝐨 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐮

𝐒𝐚𝐬𝐚 𝐓𝐅𝐅 𝐰𝐚𝐬𝐞𝐦𝐞 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐩𝐨𝐳𝐢𝐟𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐡𝐞𝐥𝐚 𝐳𝐚 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚
 
Kugusia hilo deni la crdb ni trela tu, kuna madudu kibao yanayoendelea pale, wakiamua kusema yote hakuna anaepona pale tff na bodi ya ligi.
 
Back
Top Bottom