Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 958
- 1,807
Sawa kama nyie ndo wenye mamlaka tarehe 15 msije muone. Unataka kujiweka katika level za wakubwa kitawalambaKampeni ya Yanga Kwa Sasa ni kusafisha pale TFF na bodi ya ligi
Baadae tutakuja kuwafunga Simba katika tarehe ambayo tutapanga sisi
Hakuna mbwa yoyote wa kuipoka Yanga points