Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

Joined
Sep 1, 2011
Posts
47
Reaction score
95
Press ya Yanga muda huu,

Your browser is not able to display this video.

Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita.

"Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita, maana tumechekeana sana na hizi taarifa zifike kwenye ofisi za Mtendaji Mkuu wa TFF"

UFAFANUZI WA CRDB
> TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha Baada ya CRDB kumjibu msemaji Wa Yanga SC Kuwa pesa walishatoa
 
Nikiri nilikua nawaona Yanga kama wendawazimu kugomea derby.....ila kwa haya wanayoyasema kama yana ukweli, basi hata sisi Simba tuungane na Yanga kupinga huu ujinga na ubabaishaji kwenye soka letu, mpira wetu unatakiwa kukua na sio ubabaishaji huu......hawa wanaongoza mpira wao nao tuanze kuwambia NO REFORM NO FOOTBALL.....Kumbe Gongowazi wa point aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…