Sawa kama nyie ndo wenye mamlaka tarehe 15 msije muone. Unataka kujiweka katika level za wakubwa kitawalambaKampeni ya Yanga Kwa Sasa ni kusafisha pale TFF na bodi ya ligi
Baadae tutakuja kuwafunga Simba katika tarehe ambayo tutapanga sisi
Hakuna mbwa yoyote wa kuipoka Yanga points
Tarehe 15 June hakuna mechiSawa kama nyie ndo wenye mamlaka tarehe 15 msije muone. Unataka kujiweka katika level za wakubwa kitawalamba
Sawa mkuu wa bodi ya ligi na TFFTarehe 15 June hakuna mechi
Mechi itapangwa tarehe nyingine
Endelea na majukumu yako ya kujenga nchi
Sawa mbumbumbuSawa mkuu wa bodi ya ligi na TFF
Either wamefulia au lah, ni wazi ya kuwa:-NI RASMI YANGA WAMEFULIA WANATAKA KIUNUA MGONGO
Sisi ndo lengo letu tunaombwa tushushwe daraja hatutaki tukatwe point hata mojaTupo tumekaa pale , kama hamjashuka daraja kiutani utani fanyeni kweli. Huwezi kubishana na mamlaka za soka. CAS wamewakataa nguvu ya kugoma mnaitoa wapi!??
nyau ana hata huo ubavu sasaHawa wahuni wanatumia mabavu ikiisha Simba nao watatumia mabavu ,,tutakua tunafanya kazi Gani? Upumbavu tu
Unaweza kua na hoja lakini usiwe mpumbavu wa kutishia mamlaka Kuna watu walikua na mbwembwe zaidi ya huyo kamwe katika hizi timu wamekufa wameziacha .timu...wasilisha hoja bila matusi Wala jazba na kutishia watu we Nan bwanaNikiri nilikua nawaona Yanga kama wendawazimu kugomea derby.....ila kwa haya wanayoyasema kama yana ukweli, basi hata sisi Simba tuungane na Yanga kupinga huu ujinga na ubabaishaji kwenye soka letu, mpira wetu unatakiwa kukua na sio ubabaishaji huu......hawa wanaongoza mpira wao nao tuanze kuwambia NO REFORM NO FOOTBALL.....Kumbe Gongowazi wa point aisee
Kudai haki za club yake ikiwa ni pamoja na kulipwa pesa ya ubingwa, ndo kitu kilichokuudhiHiki kitoto kifungiwe maana kinaropoka munooo
Mamlaka zinazodhurumu haki laZima ziwajibishweUnaweza kua na hoja lakini usiwe mpumbavu wa kutishia mamlaka Kuna watu walikua na mbwembwe zaidi ya huyo kamwe katika hizi timu wamekufa wameziacha .timu...wasilisha hoja bila matusi Wala jazba na kutishia watu we Nan bwana
Nataka mshushwe daraja kabisa msilete UHUNI kwenye ligi kuu muifanye nchi ya Tanzania ifungiwe sababu ya upumbavu wa wachache...Sisi ndo lengo letu tunaombwa tushushwe daraja hatutaki tukatwe point hata moja
Upumbavu Gani Yanga wamefanyaNataka mshushwe daraja kabisa msilete UHUNI kwenye ligi kuu muifanye nchi ya Tanzania ifungiwe sababu ya upumbavu wa wachache...
Simba anawaza kuvuka makundi mashindano ya Africa msimu ujao. Mo na pesa za club bingwa tena sidhani kama ana muda na drama zisizoingiza fedha. Hapa sijaongea kama shabiki.nyau ana hata huo ubavu sasa
Mbumbumbu mmechokaSimba anawaza kuvuka makundi mashindano ya Africa msimu ujao. Mo na pesa za club bingwa tena sidhani kama ana muda na drama zisizoingiza fedha. Hapa sijaongea kama shabiki.
Lazima utaratibu ufatwe, ni kukatwa points tu mpka mnashuka daraja na point 0Sisi ndo lengo letu tunaombwa tushushwe daraja hatutaki tukatwe point hata moja