Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

Hiki kikundi cha wahuni kinaongozwa kwa utoto mwingi sana, aliesema hawana akili timamu haku watukana ila alisema ukweli
 
huu ni upuuzi na hasira za kishamba zisizo na mantiki yoyote......utoto na ujinga umewajaa hawana hoja wamejawa na mihemko tu,
yaani bodi ya ligi inaundwa na vilabu zaidi ya 30 isumbuliwe na mmoja tu..hii nayo ni cheka tu
Ishu sio kusumbuliwa na mmoja, wanayodai yana mantiki au hayana??, na una uhakika gani kwamba ivo vilabu vingine isipokuwa simba wanaridhishwa na mwenendo wa karia na genge lakฤ™??, kama hawana nguvu ya kusema basi acha Yanga awasemee wengine kwa maslahi ya mpira wa TZ
 
huu ni upuuzi na hasira za kishamba zisizo na mantiki yoyote......utoto na ujinga umewajaa hawana hoja wamejawa na mihemko tu,
yaani bodi ya ligi inaundwa na vilabu zaidi ya 30 isumbuliwe na mmoja tu..hii nayo ni cheka tu
We nae unaongea kwa mihemko tu sijui ndo unajichomoa fyuzi.

Kwani hujui Watanzania wamegawanyika kwenye Usimba na Uyanga au nalo hujui.

Kwenye hiyo bodi ndio ni viongozi wa timu mbalimbali lakini ndani yao ndo ile mimi ni Simba au mimi ni Yanga na hapo ndo inakuja kuathiri maamuzi ya bodi kama walichofanya hiyo bodi yako ya kipuuzi
 
Simba anawaza kuvuka makundi mashindano ya Africa msimu ujao. Mo na pesa za club bingwa tena sidhani kama ana muda na drama zisizoingiza fedha. Hapa sijaongea kama shabiki.
Na hiki kitu kinawauma saanaa. Kama namuona Mzee Dalali 'kudadadeki'๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Reactions: Tsh
Mbona pesa za caf msimu mlipo shika nafasi ya 2 hazijalipwa na timu mkapeleka
Hivi umefuatilia vizuri haya mambo?
Kwamba hawakulipwa hadi timu zilipofikia hatua ya fainali msimu uliofuata?
Mambo mengine mnajiabisha.
Bora kunyamaza kuliko kuongea kitu ukawapa watu nafasi ya kutilia shaka uwezo wako wa kuchanganua mambo.
 
huu ni upuuzi na hasira za kishamba zisizo na mantiki yoyote......utoto na ujinga umewajaa hawana hoja wamejawa na mihemko tu,
yaani bodi ya ligi inaundwa na vilabu zaidi ya 30 isumbuliwe na mmoja tu..hii nayo ni cheka tu
Wanufaika wa udhalimu wa tff na bodi namna mnavoweweseka
 
Nimeamini Yanga inahujumiwa na TFF.. kumbe CRDB walishatoa mpunga kwa Yanga kupitia TFF lakini wakauminya kimya kimya!
 
๐‚๐‘๐ƒ๐ ๐ก๐š๐ง๐š ๐ค๐จ๐ฌ๐š ๐ฆ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ค๐จ๐ฌ๐š ๐ง๐ข ๐“๐…๐… ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฉ๐จ๐ข๐ง๐ ๐ข๐š ๐ฆ๐ค๐š๐ญ๐š๐›๐š ๐๐ž๐ง๐ค๐ข ๐ก๐ฎ๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ญ๐จ๐š ๐ค๐š๐›๐ข๐ฌ๐š ๐…๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐ง๐š ๐๐š๐ฃ๐ž๐ญ๐ข ๐ฒ๐š๐จ ๐ค๐š๐›๐ข๐ฌ๐š ๐ค๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐š๐ง๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐š๐ง๐จ ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ค๐ข๐ญ๐ฎ

๐’๐š๐ฌ๐š ๐“๐…๐… ๐ฐ๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐ž ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐ฉ๐จ๐ณ๐ข๐Ÿ๐ข๐œ๐ก๐š ๐ก๐ž๐ฅ๐š ๐ณ๐š ๐˜๐š๐ง๐ ๐š
 
Kugusia hilo deni la crdb ni trela tu, kuna madudu kibao yanayoendelea pale, wakiamua kusema yote hakuna anaepona pale tff na bodi ya ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ