Ali Kamwe naye kama hajui kinachoendelea Yanga

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
If you listen close enough. Ali Kamwe kama ajui kinachoendelea yanga.

1. Pre season vs Augsburg fc

Yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali Kamwe yupo busy na mechi ya Kaizer Chiefs ajui hata lini team itaenda South Africa for that match.

In short anaonekana confused and uninformed. kama mjinga mjinga anapelekeshwa na false information.

1720901554727.png

2. Siku ya kutangazwa jezi.
Ali Kamwe hajui lini and how atatangaza jezi.

Ana pre season kubwa sana ambazo jezi mpya anaweza kujitangaza na yanga yake. issue ni kwamba yupo completely unaware how to do this work.

1720901614731.png

Anajin'gata sana, information zake zipo random sana. sio organised kama mtu ajui anachofanya. #confused & #incompetent.

ie:
Ali Kamwe ajiorganize vizuri yupo taasisi kubwa, he should act like one. arrange your schedules , show the difference.
 
We jamaa siku ulipoandika Uzi wa kumponda gamondi na kusema hawezi chukua nbc premier league ulipoteza credibility

Huna tofauti na chura kiziwi
he was having a bad performance na pia gamondi is not my manager of choice.

ukiforce ni mkubali kocha simuelewi ?? ww ndo unashida
 
if you listen close enough. Ali kamwe kama ajui kinachoendelea yanga.

1. pre season vs augsburg fc

yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali kamwe yupo busy na mechi ya kaizer chiefs ajui hata lini team itaenda south africa for that match.

in short anaonekana confused and uninformed. kama mjinga mjinga anapelekeshwa na false information.
View attachment 3041714

2. siku ya kutangazwa jezi.
Ali kamwe ajui lini and how atatangaza jezi.
Ana pre season kubwa sana ambazo jezi mpya anaweza kujitangaza na yanga yake. issue ni kwamba yupo completely unaware how to do this work.

View attachment 3041715
anajin'gata sana, information zake zipo random sana. sio organised kama mtu ajui wanachofanya. #confused
ie:
ali kamwe ajiorganize vizuri yupo taasisi kubwa, he should act like one. arrange your schedules , show the difference
Kauli ya kujenga , Big fact japo najua kuna watu watakuja kukupinga mkuu,
Moja kati ya maswali niliyokuwa najiuliza bila majibu ni hilo la Mpumalanga cup , mpaka kuna muda najisemea labda ni uzushi , msemaji yeye yuko bize na mechi ya kaizer chiefs wakati mechi ya Augsburg ndio ina mzani mzito kiasi flani .
 
nAshangaa sana. hata jezi mpya zitakuwa bado. maana Ali kamwe nae amekuwa kama mjinga ange weza uza jezi hadi Germany.

yanga wasimuongeze mkataba tu. so far this season he is a failure
 
Mkataba wake unaisha mwezi wa ngapi

mwaka huu

kwa hali ilivyo tutamsagia kunguni humu jamii forum soon. asiongezewe contract analeta utani kazini.

kaizer wapo busy na friendly games. yeye yupo busy na kaizer kama mjinga hivi. kutwa chama. sio mambo ya msingi, friendly, jezi, travel, time table ya pre season.

he should go. after his contract ends.
 
Kauli ya kujenga , Big fact japo najua kuna watu watakuja kukupinga mkuu,
Moja kati ya maswali niliyokuwa najiuliza bila majibu ni hilo la Mpumalanga cup , mpaka kuna muda najisemea labda ni uzushi , msemaji yeye yuko bize na mechi ya kaizer chiefs wakati mechi ya Augsburg ndio ina mzani mzito kiasi flani .
Tokea lini mechi za Pre Season zina mzani mzito maana sio mechi za mashindano, unaweza ukachezesha wachezaji wote. Hizi mechi kwa ajili ya kutest mifumo,wachezaji wapya na kujenga mechi fitness kwa ajili ya ligi.

Wengine mpira sijui mmeujulia wapi,hasa ww mleta uzi na kwambiaga mpira hujui kacheze marede. Mnapenda kujipa umuhimu wakipuuzi puuzi sasa wewe na Kamwe na yupo kwenye source ya habari za Yanga?
 
unajua time table ya yanga ya pre season??

wanaenda lini south africa? wanacheza mechi ngapi? wanatoa jezi lini? wana ludi lini bongo?? watasafiri wa ngapi??

we are talking about Ali kamwe work here. hata hizo mechi tumejua online yeye ajaongelea possible ajui. what's going to happen next.
 
if you listen close enough. Ali kamwe kama ajui kinachoendelea yanga.

1. pre season vs augsburg fc

yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali kamwe yupo busy na mechi ya kaizer chiefs ajui hata lini team itaenda south africa for that match.

in short anaonekana confused and uninformed. kama mjinga mjinga anapelekeshwa na false information.
View attachment 3041714

2. siku ya kutangazwa jezi.
Ali kamwe ajui lini and how atatangaza jezi.
Ana pre season kubwa sana ambazo jezi mpya anaweza kujitangaza na yanga yake. issue ni kwamba yupo completely unaware how to do this work.

View attachment 3041715
anajin'gata sana, information zake zipo random sana. sio organised kama mtu ajui anachofanya. #confused & #incompetent.

ie:
ali kamwe ajiorganize vizuri yupo taasisi kubwa, he should act like one. arrange your schedules , show the difference
Unatamani kazi yake.
 
Back
Top Bottom