Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Umeona ulivyoweka akili kwenye boksi.
Nani kakwambia Krishna ni motivational speaker. Mungu wako Yahweh ni character wa hadithi, sasa umemng'ang'ania bila kutumia akili.
Unamuongelea Krishna utafikiri ushasoma Baghavad Gita. Kusoma hutaki, umemng'ang'ania ushabiki tu.
Mimi binafsi sina miungu ( mungu) ninayemuamini, nilimtaja Krishna si kwasababu ninamuamini ila nilimtaja ili ufunguke kuwa kitabu cha dini sio kimoja duniani.

Lakini kwasababu umekalia ushabiki, pengine utakufa ukiwa umesoma kitabu kimoja tu cha dini kwasababu umeamua kutotafuta busara kwenye elimu.
 
That's bullshit!
 
😃
Sawa, endelea kuweka akili kwenye boksi.
Ila ujue vitabu vya dini ni vingi duniani na utambue kuna busara katika kujifunza.
Elimu huondoa ujinga.
Kwani elimu si anaitafuta asiyekuwa nayo. Mimi ninayo elimu ya kutosha. Tafuteni msiokuwa nayo
 
Kwani elimu si anaitafuta asiyekuwa nayo. Mimi ninayo elimu ya kutosha. Tafuteni msiokuwa nayo
Ni kweli, wewe ulizaliwa unajua kila kitu.
Usitafute elimu milele, iache iendezake.
Kwasababu ndo akili yako imeamua hivyo.
 
Kiba yupo sawa kweli ndio.kwani maana ya ubatizo si ndio unakuwa mkiristo kamili au hujui ???? Muulize mchungaji wako basi atakuambia. Kwani ww hujui hadi leo kama ukiristo sio dini???
Maana ya shahada ni nini ?
 
Sasa kama jina lake liliandikwa kabla hajaumbwa inamaanisha yeye ndiye binadamu bora zaidi kuwahi kutokea kwa mujibu wa quran na tunapaswa tuige matendo yake.

Je, nikiiga mfano wake kwa kuoa mtoto wa under 10 kama yeye nitakuwa sahihi au nimekosea?
 
Sasa kama jina lake liliandikwa kabla hajaumbwa inamaanisha yeye ndiye binadamu bora zaidi kuwahi kutokea kwa mujibu wa quran na tunapaswa tuige matendo yake.

Je, nikiiga mfano wake kwa kuoa mtoto wa under 10 kama yeye nitakuwa sahihi au nimekosea?
Na uige pia na kuoa wa umri mkubwa zaidi.!
 
Historically Ukristo ulikuwepo tangu kale uislam ulianza miaka ya 600 kwa hiyo wao walikuwa wakristo wakabadili dini. UTURUKI, Jordan,Siria nk walikuwa wakristo kwanza
 
Alichokisema kiba ni sahihi, hebu jiulize kwanini unabatizwa na unapewa jina na kwann akisilimu (ukitii) tu unapewa jina jengine. Maana yake ni kuwa sote tuliumbwa na Mungu muumba. Mungu anatuambia katika maandiko 'hakika nimekuumbeni katika umbile lililo zuri' akasema 'dini ya haki mbele ya Mungu ni uislam'. Hebu ya chuki wala kinyongo nipe na wewe aya kama hizi katika dini yako ili tujiridhishe hata kiba awe amekosea
 
anayekuweka huwezi kumjua mpaka upime DNA

Unaweza kudhani huyo uliyeishi miaka yote kwa kudhani ni mwenyewe kumbe sio baba yako wa kibailojia
ila unafahamu Mungu muumba ndie alietuweka humo matumboni, baba ni sababu tu
 
Shida ni unanipa maandiko tuliyopokea toka kwa watu nje ya nchi yetu.
Hayo maandiko yameandika dini ni uislamu, shida ni jinsi ya kuthibitisha kuwa waliyoyaandika waliku wanaandika wakifuata maagizo ya Mungu na hivyo kuna Mungu anataka tuwe waislamu.
 
Hata natamani uchapwe viboko kidogo ili akili ikukae sawa utoke 'usingizini', hapo ulipo ni dreamland yaani hauishi katika uhalisia bali uko kwenye ulimwengu wa kufikirika.
One day you'll come back to your senses.
 
Alibadili si ni uchawi jamani?
Mbona ana leta shiriki katika mambo ya dini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…