Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Wewe una ubishi wa kitoto. Sikuambii kuwa maombi yatanisaidia au yatanifanikisha. Nakumbuka kuwa maombi yameshanisaidia na yameshanifanikisha bila kutafuta elimu za vinyago unazosuggest hapa. Yehova ana nguvu nyingi sana na yupo hapa kwa ajili ya watu kama Mimi na wake wote wanaomwamini. Wewe endelea na elimu za kukupa maendeleo wakati sisi tumeshaendelea kwa nguvu za Yehova. Maandiko ninayosoma sio average books za motivational speakers wakina krishna. Biblia ni sauti yenye Pumzi ya Mungu.
Umeona ulivyoweka akili kwenye boksi.
Nani kakwambia Krishna ni motivational speaker. Mungu wako Yahweh ni character wa hadithi, sasa umemng'ang'ania bila kutumia akili.
Unamuongelea Krishna utafikiri ushasoma Baghavad Gita. Kusoma hutaki, umemng'ang'ania ushabiki tu.
Mimi binafsi sina miungu ( mungu) ninayemuamini, nilimtaja Krishna si kwasababu ninamuamini ila nilimtaja ili ufunguke kuwa kitabu cha dini sio kimoja duniani.

Lakini kwasababu umekalia ushabiki, pengine utakufa ukiwa umesoma kitabu kimoja tu cha dini kwasababu umeamua kutotafuta busara kwenye elimu.
 
That's bullshit!
 
😃
Sawa, endelea kuweka akili kwenye boksi.
Ila ujue vitabu vya dini ni vingi duniani na utambue kuna busara katika kujifunza.
Elimu huondoa ujinga.
Kwani elimu si anaitafuta asiyekuwa nayo. Mimi ninayo elimu ya kutosha. Tafuteni msiokuwa nayo
 
Kiba yupo sawa kweli ndio.kwani maana ya ubatizo si ndio unakuwa mkiristo kamili au hujui ???? Muulize mchungaji wako basi atakuambia. Kwani ww hujui hadi leo kama ukiristo sio dini???
Maana ya shahada ni nini ?
 
Ww kijana akili yako ni ndogo sana hata ukiambiwa kitu wala hutakuwa huamini utaona kama ni porojo!! Unajua kwamba mtume muhammad swalahulllahu alaih wasalam jina lake ndio la kwanza kuandikwa mlango wa peponi kabla hata hajaumbwa na Allah.??? Sasa hapo hiyo aya ina tatizo gani ????????????

Tatizo lako unasoma tafsiri alafu unakuja kuleta hoja bila kujua hiyo aya ilikuwaje ikateremshwa.hizo aya za quran zilikuwa zinashuka kutokana na visa

Sasa nyie mnasoma aya moja mnakuja kusema quran ina contradiction.ndio nyie mnatusumbua kwa kukifanya wajuaji
Sasa kama jina lake liliandikwa kabla hajaumbwa inamaanisha yeye ndiye binadamu bora zaidi kuwahi kutokea kwa mujibu wa quran na tunapaswa tuige matendo yake.

Je, nikiiga mfano wake kwa kuoa mtoto wa under 10 kama yeye nitakuwa sahihi au nimekosea?
 
Na uige pia na kuoa wa umri mkubwa zaidi.!
 
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"

Hii inaonesha wazi jinsi gani watanzia ni wajinga, tumekariri dini tulizoingiziwa na mataifa mengine kutoka nje ya nchi na kujikuta tunakuwa wajinga.

Sikutegemea Alikiba ni mjinga kiasi hiki kisa dini🤦🏾‍♂️

=====

Muna Love
"Hivi Nikiamua kubadili Dini kua Muislamu. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole ? Nikafa"

Alikiba
"Mimi nitaakikisha unastirika I hope unakumbuka mameno yangu na iwe kheri ALLAH akufanyie wepesi dada yangu"

"Uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua Converted into Christian"

Historically Ukristo ulikuwepo tangu kale uislam ulianza miaka ya 600 kwa hiyo wao walikuwa wakristo wakabadili dini. UTURUKI, Jordan,Siria nk walikuwa wakristo kwanza
 
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"

Hii inaonesha wazi jinsi gani watanzia ni wajinga, tumekariri dini tulizoingiziwa na mataifa mengine kutoka nje ya nchi na kujikuta tunakuwa wajinga.

Sikutegemea Alikiba ni mjinga kiasi hiki kisa dini🤦🏾‍♂️

=====

Muna Love
"Hivi Nikiamua kubadili Dini kua Muislamu. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole ? Nikafa"

Alikiba
"Mimi nitaakikisha unastirika I hope unakumbuka mameno yangu na iwe kheri ALLAH akufanyie wepesi dada yangu"

"Uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua Converted into Christian"

Alichokisema kiba ni sahihi, hebu jiulize kwanini unabatizwa na unapewa jina na kwann akisilimu (ukitii) tu unapewa jina jengine. Maana yake ni kuwa sote tuliumbwa na Mungu muumba. Mungu anatuambia katika maandiko 'hakika nimekuumbeni katika umbile lililo zuri' akasema 'dini ya haki mbele ya Mungu ni uislam'. Hebu ya chuki wala kinyongo nipe na wewe aya kama hizi katika dini yako ili tujiridhishe hata kiba awe amekosea
 
anayekuweka huwezi kumjua mpaka upime DNA

Unaweza kudhani huyo uliyeishi miaka yote kwa kudhani ni mwenyewe kumbe sio baba yako wa kibailojia
ila unafahamu Mungu muumba ndie alietuweka humo matumboni, baba ni sababu tu
 
Alichokisema kiba ni sahihi, hebu jiulize kwanini unabatizwa na unapewa jina na kwann akisilimu (ukitii) tu unapewa jina jengine. Maana yake ni kuwa sote tuliumbwa na Mungu muumba. Mungu anatuambia katika maandiko 'hakika nimekuumbeni katika umbile lililo zuri' akasema 'dini ya haki mbele ya Mungu ni uislam'. Hebu ya chuki wala kinyongo nipe na wewe aya kama hizi katika dini yako ili tujiridhishe hata kiba awe amekosea
Shida ni unanipa maandiko tuliyopokea toka kwa watu nje ya nchi yetu.
Hayo maandiko yameandika dini ni uislamu, shida ni jinsi ya kuthibitisha kuwa waliyoyaandika waliku wanaandika wakifuata maagizo ya Mungu na hivyo kuna Mungu anataka tuwe waislamu.
 
Mimi nilipokuwa kama wewe mambo yalikufa kabisa mpaka nilivyompata Yesu Mwokozi wangu mpaka nimeoa na maisha yanaenda kwa raha sana. Sasa huu upuuzi umenisaidia sana najiuliza nilichelewa wapi kuufuata huo upuuzi. Nakuombea tu siku moja Mungu tunaemwamini siku moja akuzukie upone. Akuzukie kwa wema au hata kwa viboko kidogo lakini usife
Hata natamani uchapwe viboko kidogo ili akili ikukae sawa utoke 'usingizini', hapo ulipo ni dreamland yaani hauishi katika uhalisia bali uko kwenye ulimwengu wa kufikirika.
One day you'll come back to your senses.
 
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"

Hii inaonesha wazi jinsi gani watanzia ni wajinga, tumekariri dini tulizoingiziwa na mataifa mengine kutoka nje ya nchi na kujikuta tunakuwa wajinga.

Sikutegemea Alikiba ni mjinga kiasi hiki kisa dini🤦🏾‍♂️

=====

Muna Love
"Hivi Nikiamua kubadili Dini kua Muislamu. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole ? Nikafa"

Alikiba
"Mimi nitaakikisha unastirika I hope unakumbuka mameno yangu na iwe kheri ALLAH akufanyie wepesi dada yangu"

"Uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua Converted into Christian"

Alibadili si ni uchawi jamani?
Mbona ana leta shiriki katika mambo ya dini!!
 
Back
Top Bottom