dormant accont
Senior Member
- Jan 4, 2022
- 154
- 162
- Thread starter
- #301
Umeona ulivyoweka akili kwenye boksi.Wewe una ubishi wa kitoto. Sikuambii kuwa maombi yatanisaidia au yatanifanikisha. Nakumbuka kuwa maombi yameshanisaidia na yameshanifanikisha bila kutafuta elimu za vinyago unazosuggest hapa. Yehova ana nguvu nyingi sana na yupo hapa kwa ajili ya watu kama Mimi na wake wote wanaomwamini. Wewe endelea na elimu za kukupa maendeleo wakati sisi tumeshaendelea kwa nguvu za Yehova. Maandiko ninayosoma sio average books za motivational speakers wakina krishna. Biblia ni sauti yenye Pumzi ya Mungu.
Nani kakwambia Krishna ni motivational speaker. Mungu wako Yahweh ni character wa hadithi, sasa umemng'ang'ania bila kutumia akili.
Unamuongelea Krishna utafikiri ushasoma Baghavad Gita. Kusoma hutaki, umemng'ang'ania ushabiki tu.
Mimi binafsi sina miungu ( mungu) ninayemuamini, nilimtaja Krishna si kwasababu ninamuamini ila nilimtaja ili ufunguke kuwa kitabu cha dini sio kimoja duniani.
Lakini kwasababu umekalia ushabiki, pengine utakufa ukiwa umesoma kitabu kimoja tu cha dini kwasababu umeamua kutotafuta busara kwenye elimu.