Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Ukristu na Uislamu upi ulitangulia?

Hizi mbili ni dini za kurithi
Kila mtu huzaliwa bila dini ( Ali Kiba acha uzushi)

Ninyi wawili oops mko watatu ni wa dini sana

Kwa Mungu hakuna dini msipotoshe na kuwapotezea watu muda

Maisha yako na matendo yako ndio dini yako

Ufuska umalaya ujambazi uchawi nazo ni dini za watu kwani ni Imani ujue....

Huyu anayetangatanga mara mksristo mara kasababisha kifo cha nani yake mara msaidia yatima nk ndio wakumjadili kweli???
 
Hii angetamka domo, Mange hili angelivalia njuga plus la kuchumpa.

Kwa mtu kama Kiba kwa brand yake hakutakiwa kusema hivyo,mimi naamini maswala ya imani ni utashi wa mtu, Mungu alimpa binadamu utashi achague lilojema, huku tukiongozwa na mitume na manabii wa Mungu.

Ila mwisho wa siku hamna dini nzuri kama ya UPENDO, mpenda Mungu wako,majirani na pamoja maadui zako.

Uwe Muislamu au mkristo kama huna upendo ni kazi bure.
 
Haswaa huo ndio msingi,lakini hatukatazi watu wangine wasipinge,kama kuna wanaopinga sawa ila uislamu umeshaweka huo utaratibu tayari.

Hausemwi na nani wakati wewe unasema na tumeshasikia watu kadhaa wakisema huu unaosema ukweli.

Hivyo huu unaosema ni ukweli ambao hausemwi sio kweli mkuu,huu ni ukweli(kwa mujibu wako) ambao unasemwa.

Na huu ni msimamo wa atheist pia kama ambavyo ulivyokuwa msimamo wa uislamu.

Hivyo kila mtu anavutia ngoma upande wake.
Logicaly ni kwamba dini ni ubunifu wa mtu

Alianza mtu ndio zikaja dini

Mtu ndio aliyeanzisha dini

Dini haijaanzisha mtu

Mpaka hapo utaona atheist ni default position ambayo kila mtu kaipitia
 
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"

Hii inaonesha wazi jinsi gani watanzia ni wajinga, tumekariri dini tulizoingiziwa na mataifa mengine kutoka nje ya nchi na kujikuta tunakuwa wajinga.

Sikutegemea Alikiba ni mjinga kiasi hiki kisa dini🤦🏾‍♂️

=====

Muna Love
"Hivi Nikiamua kubadili Dini kua Muislamu. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole ? Nikafa"

Alikiba
"Mimi nitaakikisha unastirika I hope unakumbuka mameno yangu na iwe kheri ALLAH akufanyie wepesi dada yangu"

"Uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua Converted into Christian"

Muislam hata awe Profesa,dini Kwake ina ushawishi mkubwa!sasa fikiria mtu anaamini huu upuuzi,kwamba mtu anazaliwa akiwa na dini!!
Ujinga mtupu.
 
Dini ni moja tu toka Adam mpaka Muhammad wote walihubiri uislam
Ukristu na Uislamu upi ulitangulia?

Hizi mbili ni dini za kurithi
Kila mtu huzaliwa bila dini ( Ali Kiba acha uzushi)

Ninyi wawili oops mko watatu ni wa dini sana

Kwa Mungu hakuna dini msipotoshe na kuwapotezea watu muda

Maisha yako na matendo yako ndio dini yako

Ufuska umalaya ujambazi uchawi nazo ni dini za watu kwani ni Imani ujue....

Huyu anayetangatanga mara mksristo mara kasababisha kifo cha nani yake mara msaidia yatima nk ndio wakumjadili kweli???
 
Hawezi kucha kusimamia dini kisa eti brand yeye anamwamini mungu wake.
Hii angetamka domo, Mange hili angelivalia njuga plus la kuchumpa.

Kwa mtu kama Kiba kwa brand yake hakutakiwa kusema hivyo,mimi naamini maswala ya imani ni utashi wa mtu, Mungu alimpa binadamu utashi achague lilojema, huku tukiongozwa na mitume na manabii wa Mungu. Ila mwisho wa siku hamna dini nzuri kama ya UPENDO, mpenda Mungu wako,majirani na pamoja maadui zako.

Uwe Muislamu au mkristo kama huna upendo ni kazi bure.
 
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"

Hii inaonesha wazi jinsi gani watanzia ni wajinga, tumekariri dini tulizoingiziwa na mataifa mengine kutoka nje ya nchi na kujikuta tunakuwa wajinga.

Sikutegemea Alikiba ni mjinga kiasi hiki kisa dini🤦🏾‍♂️

=====

Muna Love
"Hivi Nikiamua kubadili Dini kua Muislamu. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole ? Nikafa"

Alikiba
"Mimi nitaakikisha unastirika I hope unakumbuka mameno yangu na iwe kheri ALLAH akufanyie wepesi dada yangu"

"Uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua Converted into Christian"

Apeleke matumizi kwa mke wake mengine tutajadili
 
Wrong Comment for a person who has a Brand..., Ukiwa unategemea Status yako ili kuuza (wewe ndio brand) inabidi uwe careful sana na unachokiongea

Kuwa na mtizamo ni haki ya kila mmoja kuweka msimamo / imani / views zako ambazo sio za kila mtu inaweza ikawa costly unless anataka kujibrand kama mtu wa Imani....
Haya uliyoyaandika wewe labda ulaya sio tz mzee, huku watu wapowapo tu. Kuhusu kauli ya ali nadhani yupo sahihi kwa mujibu wa imani yake
 
Mkuu msamehe tu maana ukifuatilia vitendo vingi vya kiba utajua kuwa ana level ndogo ya maturity and intellectual capacity
Na bado anajiona ni special. Kumbe ni kiazi.

Hajui anajifanya anajua.

Watu wetu wanakua public figures bila kujua values and what it takes kuwa public figure. Ama meneja wake naye ana matatizo kwa kushindwa kumtengeneza msanii wake, au ni ubishi na ujuaji wake.
 
Kimsingi mtu anazaliwa bila dini ndio maana baadhi ya imani / madhehebu ya kikristo mtu anabatizwa.

There is no way ukasema mtu anaziliwa muislamu wakati familia anayozaliwa ndio inayoenda kumuamulia imani yake.

Yaani mtu akizaliwa familia ya kiislamu anakuwa muislamu, akizaliwa familia ya kiyahudi anakuwa myahudi mpaka pale atakapokuja kubadilisha mwenyewe.

Hii hoja ya ally ni ya mtu ambaye hatumii kichwa chake vizuri kuung'amua ukweli.
 
Back
Top Bottom