cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Jibu zuri sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumboni, wengine maabara nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu zuri sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumboni, wengine maabara nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UISLAM HUU AMBAO ULIANZISHWA NA MA JESUITS WA VATICAN KWA KUMPA MOHAMAD KAZI MAALUMU???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaha nimecheka Sana Mkuu,huu Ndio ukweli mchungu ambao wavaa kobazi wa Mecca hawapendi kuusikia,
Ila ulivyo kazia Ndio umeniacha hoi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Apeleke matumizi kwa mke wake mengine tutajadili
Yaan huwa wananishangaza mno mie, hadi nashindwa kuelewa lolWaTz walio wengi hufikiri kwamba watu wote duniani wapo kwenye moja ya hizi dini mbili tu. Huu ni uzwazwa tu. Dini zipo zaidi ya hizo mbili na kuna watu wasio na dini.
Nakubaliii.Ukisikiliza interview ya salama na seven utaelewa mahusiano ya kiba na managers wake inakuwaje.
Seven alisema in a soft way kuwa kiba ni ngumu kumbadili kuwa brand inayouza maana tayari ana mifumo yake ambayo ni ngumu kushawishika kuibadili, nzuri kibinafsi ila mbaya kibiashara
Poleeeeh mlongo.Uko sahihi sana kaka,wengine baba Islam,mama Christian, yaani maisha yetu tunaogopa sana kubaguana na hua naogopa sana majadiliano ya hizo dini mbili!Mimi yananichoma sana mwenzenu[emoji21][emoji21]!!!naogopa hata kuchangiaga nabakigo kimya sana!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nakuelewa mkuu, imagine unapita kwenye vitu flani na unatamkiwa maneno makali ya kibaguzi waziwazi lakini ukiingia kwenye contacts zako unaona ndugu na marafiki zako wa karibu ni wa imani hiyo. Tena hii si kwa waislamu vs wakristu, kuna hadi madhehebu yana itikadi hizo hizoUko sahihi sana kaka,wengine baba Islam,mama Christian, yaani maisha yetu tunaogopa sana kubaguana na hua naogopa sana majadiliano ya hizo dini mbili!Mimi yananichoma sana mwenzenu[emoji21][emoji21]!!!naogopa hata kuchangiaga nabakigo kimya sana!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
1. Hakuna atakaye andamana eti mkristo kasema alizaliwa akiwa mkristo... Bali tutamuuliza. Je ubatizo ni kwa ajili GANI??Mkristo akisema vice versa kuwa kila mtu anazaliwa mkristo utasikia wanaandamana
Wakristo sio wanafiki wanakubali bila kelele??Tuna kubaliana nae yuko sawa
[emoji81][emoji81]ila Christians wanafiki sana yani hawana mambo mengi wana kukubalia tu bila.kelele ila ingekua upande wa pili ingekua fujo apo
Muislamu yeyote abishe hi; maanake moja kati ya watu walitakiwa ku justify UTUME wa Mohamed ni Padree wa kanisa la Catholic; hili watu hawataki kulisema but ndio ukweli. RC ni taasisi ya ajabu sana kwenye hi dunia, walianza umafia siku nyingi mnoUISLAM HUU AMBAO ULIANZISHWA NA MA JESUITS WA VATICAN KWA KUMPA MOHAMAD KAZI MAALUMU???
Shida inakuja hayo mafundisho ya kuran na biblia tumeyapokea toka kwa watu wengine nje ya Tanzania.1. Hakuna atakaye andamana eti mkristo kasema alizaliwa akiwa mkristo... Bali tutamuuliza. Je ubatizo ni kwa ajili GANI??
2. Kwa mafundisho ya Uislamu kila mtu anayezaliwa huzaliwa akiwa ni Muislamu ndio maana Waislamu hawawapeleki watoto wao Misikitini kuwabatiza, maana ukishambatiza tu tayari umeshamuondolea uhuru wake aliozaliwa nao ambo ni Uislamu....
Qur'an 30: 30. Basi elekeza uso wako kwenye Dini yenye kujiengua na upotofu inayoelemea haki. Umbile la asili la kumpwekesha Allaah Aliyowaumbia watu. Hakuna mabadiliko katika uumbaji wa Allaah. Hivyo ndio Dini iliyonyooka sawasawa, lakini watu wengi hawajui..
Umbile la VIUMBE WOTE NI UISLAM....HUO UYESU UMEUPATA WAPI??
Brand sio Hoja....issue kubwa watanzania wenzangu tunapenda unafiki eti mtu afiche imani yake... Yaani dini hususani UISLAM uwe ni msikitini na usireflect maisha ya mtu na muhusika pia asitaje hadharani.Wrong Comment for a person who has a Brand..., Ukiwa unategemea Status yako ili kuuza (wewe ndio brand) inabidi uwe careful sana na unachokiongea
Kuwa na mtizamo ni haki ya kila mmoja kuweka msimamo / imani / views zako ambazo sio za kila mtu inaweza ikawa costly unless anataka kujibrand kama mtu wa Imani....
Ukiwa muslims unaenda pinguni na bus nini???Mjinga utakuwa wewe mleta mada.
Dini yako ni ipi?
Ali kiba yupo sahihi kwa [emoji817]
Sawaa waende pinguni kwani si wanajua Christian hawanaga wivu.Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"
Hii inaonesha wazi jinsi gani watanzia ni wajinga, tumekariri dini tulizoingiziwa na mataifa mengine kutoka nje ya nchi na kujikuta tunakuwa wajinga.
Sikutegemea Alikiba ni mjinga kiasi hiki kisa dini[emoji2365]
=====
Muna Love
"Hivi Nikiamua kubadili Dini kua Muislamu. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole ? Nikafa"
Alikiba
"Mimi nitaakikisha unastirika I hope unakumbuka mameno yangu na iwe kheri ALLAH akufanyie wepesi dada yangu"
"Uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua Converted into Christian"
Wala sina imani yoyote ile. Siamini wakristo wala siamini waislamu.Mleta mada ni mjinga sana wa chuki,kila mtu si na anavyoamini?wewe kama unaamini tofauti ni kusema na unavyoamini wewe,jinga sana tena bure kabisa.
Unaumia roho na imani ya mwingine?ndiyo maana wewe una imani yako,acha yeye aamini anavyoamini,!,very stupid
Acha kabisa mi ndo maana napitaga kimya kimya sichangiagi mimiNakuelewa mkuu, imagine unapita kwenye vitu flani na unatamkiwa maneno makali ya kibaguzi waziwazi lakini ukiingia kwenye contacts zako unaona ndugu na marafiki zako wa karibu ni wa imani hiyo. Tena hii si kwa waislamu vs wakristu, kuna hadi madhehebu yana itikadi hizo hizo
Mwisho wa siku unawapuuza Tu na unaendelea na maisha yako. Kama mtu hajawahi kukuoneshea utofauti wowote kwa nini utumie sumu za watu wengine kumuhukumu. HAIWEZEKANI
Hua ipo hivyo hata wewe kuna watu wanakuona ndeziMkuu msamehe tu maana ukifuatilia vitendo vingi vya kiba utajua kuwa ana level ndogo ya maturity and intellectual capacity