Brand sio Hoja....issue kubwa watanzania wenzangu tunapenda unafiki eti mtu afiche imani yake... Yaani dini hususani UISLAM uwe ni msikitini na usireflect maisha ya mtu na muhusika pia asitaje hadharani.
Brand ni kila kitu..., naam ni hao hao wanafiki ambao ni watanzania ndio soko la huyo Mtanzania mwenzao....., sijasema mtu asifanye / kufuata imani yake..., issue ni pale anaposema imani yake ni ya kweli na sio wengine (issue sio kuamini ni kusema) hapo unaweza kuingia katika ligi ambayo itatenga baadhi ya wanunuzi wako (imani nyingine)
1. Wakristo wangapi wenye brand na wanapanda majukwaani ni misalaba shingoni?? Je imani ya misalaba waislam wanakubaliana nayo? Au wanakubali anachofanya wakati husika??
Kuna mtu kasema Kiba asivae Kanzu au ajiite Jonathan ? Kuna tofauti kwa mtu kujivunia Umasai wake na kuanza kuongelea kwamba kabila jingine mapungufu yake (unless kuna matani baina ya makabila) na sio Dini Mfano msanii mwenye wafuasi nusu kwa nusu Upinzani na Chama tawala kusimamia msimamo wake kwa kuwabeza chama kingine unaweza ukamcost wateja..., Unless kuanzia mwanzo brand yake ni upinzani au kuwa-crash walio madarakani (mfano Roma)
Je mtu akifa, Mkristo mbona sijaona mkimuacha azikwe na mashabiki wake kimziki mziki badala yake wanaletwa WACHUNGAJI na mapadre na brand inasahaulika?? Je NDOA mbona hazifungiwi jukwaani na maproducer ila huenda kanisani??
Tofautisha Imani ya mtu (kila mtu ana yake) na kuanza debate kuhusu Imani kwamba hii ni sahihi na sio sahihi n.k. (hapo inaweza ikala kwako kwa wale wa pande wanokuona namna gani vipi)
Unajua Brand ya Nguo Tommy Hilfiger (watu walimpakazi mwenye brand kwamba alisema nguo zake zipo intended kutumiwa na watu wenye hadhi na sio miniroties na kama angejua watu weusi wangezivaa sana asingezifanya kuwa nzuri kiasi hicho... (Ingawa hili lilikuwa uongo ila sales zake zilipata shida sana baada ya wateja kuona jamaa anatudharau...
Moral of the Story...; Unless yourself you are a brand sometimes ni vema kuangalia comments zako mara mbili au tatu... sababu kazi unayofanya haipo intedend kwa baadhi bali wote
Ukijibu maswali hayo ujue Alikiba yupo sahihi na kwa misingi ya UISLAM hakuna anayempeleka mtoto wa kwa sheikh akabatizwe UISLAM kwa sababu kila mtu maumbile yake ni uhuru wa kufuata muongozo wa Aliye muumba ( UISLAM) unyenyekevu.
Nata kama ni mchawi au hana Imani katika dini yoyote hayo ni maisha yake..., issue ni pale anaposema / ingiza comment za Imani fulani ambazo zinaweza kuleta mjadala au wengine kutokufurahishwa (inaweza ika-hurt kazi yake)
Watu hawamsikilizi Kiba Muislamu au Mkristo..., bali wanasikiliza kazi za Kiba sababu ni nzuri; ila hata akiamua kuimba kaswida au Gospel its all good ila ni pale anapoingia katika debate za sisi na wao.... (hapo ndio kuna tatizo)