Shida ya Ali Kiba ni kusema kile kilichoandikwa kwa mujibu wa imani ya UISLAM??Hua ipo hivyo hata wewe kuna watu wanakuona ndezi
Wakristo Wana wivu balaa NDIO maana roho zinawatoka baada ya Alikiba kuongea sawa na mafundisho ya Dini yakeSawaa waende pinguni kwani si wanajua Christian hawanaga wivu.
Mimi mleta mada siamini wakristo na siamini waislamu. Sina imani ya dini.Wakristo Wana wivu balaa NDIO maana roho zinawatoka baada ya Alikiba kuongea sawa na mafundisho ya Dini yake
Umewahi kusikia mkristo ameuwa mtu kwajili ya dini mbona muslims mmeuwa mchungaji shinyanga mmechoma makanisa mtowambu kisa kupigania dini..Wakristo Wana wivu balaa NDIO maana roho zinawatoka baada ya Alikiba kuongea sawa na mafundisho ya Dini yake
Brand ni kila kitu..., naam ni hao hao wanafiki ambao ni watanzania ndio soko la huyo Mtanzania mwenzao....., sijasema mtu asifanye / kufuata imani yake..., issue ni pale anaposema imani yake ni ya kweli na sio wengine (issue sio kuamini ni kusema) hapo unaweza kuingia katika ligi ambayo itatenga baadhi ya wanunuzi wako (imani nyingine)Brand sio Hoja....issue kubwa watanzania wenzangu tunapenda unafiki eti mtu afiche imani yake... Yaani dini hususani UISLAM uwe ni msikitini na usireflect maisha ya mtu na muhusika pia asitaje hadharani.
Kuna mtu kasema Kiba asivae Kanzu au ajiite Jonathan ? Kuna tofauti kwa mtu kujivunia Umasai wake na kuanza kuongelea kwamba kabila jingine mapungufu yake (unless kuna matani baina ya makabila) na sio Dini Mfano msanii mwenye wafuasi nusu kwa nusu Upinzani na Chama tawala kusimamia msimamo wake kwa kuwabeza chama kingine unaweza ukamcost wateja..., Unless kuanzia mwanzo brand yake ni upinzani au kuwa-crash walio madarakani (mfano Roma)1. Wakristo wangapi wenye brand na wanapanda majukwaani ni misalaba shingoni?? Je imani ya misalaba waislam wanakubaliana nayo? Au wanakubali anachofanya wakati husika??
Tofautisha Imani ya mtu (kila mtu ana yake) na kuanza debate kuhusu Imani kwamba hii ni sahihi na sio sahihi n.k. (hapo inaweza ikala kwako kwa wale wa pande wanokuona namna gani vipi)Je mtu akifa, Mkristo mbona sijaona mkimuacha azikwe na mashabiki wake kimziki mziki badala yake wanaletwa WACHUNGAJI na mapadre na brand inasahaulika?? Je NDOA mbona hazifungiwi jukwaani na maproducer ila huenda kanisani??
Nata kama ni mchawi au hana Imani katika dini yoyote hayo ni maisha yake..., issue ni pale anaposema / ingiza comment za Imani fulani ambazo zinaweza kuleta mjadala au wengine kutokufurahishwa (inaweza ika-hurt kazi yake)Ukijibu maswali hayo ujue Alikiba yupo sahihi na kwa misingi ya UISLAM hakuna anayempeleka mtoto wa kwa sheikh akabatizwe UISLAM kwa sababu kila mtu maumbile yake ni uhuru wa kufuata muongozo wa Aliye muumba ( UISLAM) unyenyekevu.
Vip mabutha nao wanabatizwa? Manake unautizama ukristo pekee yake vp atheist nao.Shida ya Ali Kiba ni kusema kile kilichoandikwa kwa mujibu wa imani ya UISLAM??
UISLAM mafundisho yake yapo wazi kuwa kila mtu huzaliwa akiwa Muislam na NDIO maana hatuwapeleki watoto kwa masheikh misikitini wawape dini....kwa sababu kila tunazaliwa tukiwa waislam tayari inabaki kusoma muongozo wa kuja halali na Haramu .
Na wewe una haki ya kutaja unachoamini kuwa mtu huwa Mkristo pale tu anapobatizwa...over wala hakuna haja ya mijadala mirefu.
Hua ipo hivyo hata wewe kuna watu wanakuona ndezi
Ukiwa muslims unaenda pinguni na bus nini???
mkuu I think ume kosea kuni quote mimi siko huko kwenye ImanShida ya Ali Kiba ni kusema kile kilichoandikwa kwa mujibu wa imani ya UISLAM??
UISLAM mafundisho yake yapo wazi kuwa kila mtu huzaliwa akiwa Muislam na NDIO maana hatuwapeleki watoto kwa masheikh misikitini wawape dini....kwa sababu kila tunazaliwa tukiwa waislam tayari inabaki kusoma muongozo wa kuja halali na Haramu .
Na wewe una haki ya kutaja unachoamini kuwa mtu huwa Mkristo pale tu anapobatizwa...over wala hakuna haja ya mijadala mirefu.
Si umeshasema,wapi Kuna maandamano?Mkristo akisema vice versa kuwa kila mtu anazaliwa mkristo utasikia wanaandamana
Uislam huhuu ulioletwa namudi huko mapangoni ndio useme din yamanabii, kabla yamtume muhamad nambie kibra ilikua wap au huyo ibrahim aliijua ramadhan.... Hiz mambo zimeletwa juz namudi huko mapangoniDini ni moja tu toka Adam mpaka Muhammad wote walihubiri uislam
Roma angereply hapo kwa alikiba akisema kuwa kila mtu anazaliwa mkristo ila anabadilishwa kuwa muislam baada ya kupelekwa misikitini na kusomeshwa quran....unahisi jamii ya waislam ingefanyaje?Hakuna ataeandamana alichokisema Ally Kiba ni sahihi.
Basi muwage hata mnashirikisha akili zenuAcha chuki za kijinga huo ndio ukweli wenyewe kila Mtu huzaliwa akiwa Muislam ila wazazi ndio humfanya awe mnaswala au majusi.
Hizo habari za eti dini walituletea wageni Ni za kijinga Sana na hazina mantiki.
Babu yetu Nabii Ibrahimu ..alikuja kwa meli au nn.
Bwege sana,kama huna imani maana yake hujui chochote upande wowote,sasa kijambio kinatekenyekaje wakati huna imani,keep on keeping on,staying neutral.Wala sina imani yoyote ile. Siamini wakristo wala siamini waislamu.
Sichukii wakristo wala sichukii waislamu kwasababu sina imani yoyote ile ya dini.
Ndiyo maana nampinga Kiba kusema kila mtu kazaliwa na dini tulizopokea toka nje ya nchi.
Wewe kama ukachukukia wakristo, pole sana. Unajitesa tu bure.
Ila mambo ya dini sio ya kujadili hata. Yanaleta mtafaruku mno.
Iwe Ya Chupa Huku Unajiramba Ukinata Na Comment Chachu Kama Limao!!Popcorn na Mirinda ya barid pembeni hapa
waislamu wote wanaamini hivyo,,,sio big issue ni imani,,,,sawa na wakristo wanaisema,usipompokea yesu utatupwa jehanum,,,Kiba kakosea sana