Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

uislamu maana yake ni,kumtii mungu na kufuata amri zake,yaani kujiweka chini ya mnyazi mungu,
automatically ukizaliwa peke yako ukaachwa kisiwani peke yako utajikuta tu unajiweja mikononi mwa sir God,,wala haihitaji kuhubiriwa
 
Logicaly ni kwamba dini ni ubunifu wa mtu

Alianza mtu ndio zikaja dini

Mtu ndio aliyeanzisha dini

Dini haijaanzisha mtu

Mpaka hapo utaona atheist ni default position ambayo kila mtu kaipitia
binadamu huanza kumuabudu mungu automatically,,na hii ipo tangu stone age
 
Bwege sana,kama huna imani maana yake hujui chochote upande wowote,sasa kijambio kinatekenyekaje wakati huna imani,keep on keeping on,staying neutral.
Badala ya kujenga hoja unatukana matusi.
Hio ndio sababu imekua rahisi watu kutuletea maandishi wakasema ni ya mungu na watu kama wewe mkayafata bila kuweka mantiki.
Akili yako inawaza uchafu na matusi🤦🏾‍♂️😔
 
Huyo Ibrahim amemjulia wapi? Wakishajiita Ibra basi ndio wanakuwa waarabu kabisa maana kuna mwingine kwenye Uzi wa Zanzibar akasema waarabu asili yao ni weusi.

Hawa watu waache viroja
Abrahamu asili yake ni syria,,Sehemu inaitwa Paran,,,yeye na wazazi wake walihamia ,Ur ya mesopotamia akiwa mdogo,
ndio maana hata yakobo alipotaka kuoa,arirudi kwa wajomba zake kina mzee Laban,huko syria ndo alipata mke,,
 
Adam alihubiri dini? Uislam tena [emoji2] muislam hata aende shule kiasi gani Ila Kama alianzia madrasa basi elimu nyingine haina maana kwake.
Adam(sidhani kama alipata kuwepo),aliishi miaka 300,,unaweza kuaccount katika miaka hiyo alifanya nini na nini,ukiachia suala la kula tunda la eve.?
 
binadamu huanza kumuabudu mungu automatically,,na hii ipo tangu stone age
Binadamu huwa tunaendeshwa na uoga wa "nini kinafata baada ya kifo" au "tufanye nini ili tuendelee kuwa hai".
Wengine akili zikawatuma atakuwepo Mungu, wengine akili zikawatuma kuna miungu zaidi ya milioni (wahindu) na wengine hawafikirii miungu au mungu bali wanafikiria tu roho za mababu zao.
Hivyo, tangu stone age mawazo ya binadamu hayajawahi kuwa sawa.
 
Huyu mziki kwasasa anafosi tu hana jipya. Na me nashangaa hata wanaomsifia kuwa ni mkali sijui ana ukali upi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wote wako sawa,wahindi,budha,christians,,wote ni waislamu[emoji1745]
 
Hapana

Swala la kuabudu mungu ni mpaka mtu afundishwe haijawahi kuwa automatic
Hapo namsahihisha kidogo alitakiwa aseme ya kuwa anakuwa yuko tayari kupokea habari za Mola muumba na hawezi kuzipinga yaani umbile la mwanadamu lipo tayari kuamini uwepo wa Mola muumba.

Hili hata wewe kama akili yako utaipa muda ufikirie ni kuwa umekuwa hivyo kichwa mchunga sababu ya kulishwa ujinga na kutong'amua hayo mambo, ila kabla ya hapo ungezipata habari za kweli juu ya uwepo wa Allah lazima ukubali.
 
Logicaly ni kwamba dini ni ubunifu wa mtu
Hivi logic ipi unayo iongelea wewe ? Maana naona unalitumia vibaya sana hili tamko. Tukikuomba uelezee unacho maanisha kwa kuzingatia misingi ya logic najua hutaweza sasa sijui kwanini unakurupuka katika matumizi ya maneno ?

Naomba utumie logic unayoijua wewe kututhibitishia ya kuwa Dini ni ubunifu wa mtu na uonyeshe usahihi wako.
 
Unaweza kututajia huyo mtu aliyeanzisha Dini na ilikuwa lini ? Yaani naongelea pale tu lilipo anza kutumika tamko "DINI" ?
Siwezi kumjua muanzilishi lakini haina maana kuwa halijabuniwa na watu/mtu

Zipo sababu nyingi za mimi kuto kumjua

Kuna wabubifu wengi wanaopenda kuwa anonymous

Hata wewe natumaini unakubali neno pombe lilibuniwa na watu/mtu lakini sidhani kama unamjua huyo mbunifu
 
Uislamu ni dini na utamaduni wa waarabu we mtu mweusi kaa kwa kutulia hauna chako kwenye uislam, ndio maana kwenye nchi za kiarabu wanakwambia bora kuswalishwa na muarabu mla kitimoto au chapombe kuliko mtu mweusi kama wewe na alikiba wako.
 
Habari za mola zinafundishika na kukaririka kama ilivyo kwa habari zingine kama panya mabaka aliyemvisha paka kengele, na habari ya pazi aliyebebwa kichwa chini miguu juu na jogoo

Nimezipata habari za Allah na ndio maana niko hapa nilipo, na hata hapa utaendelea kuziweka lakini haita saidia

Vipi, we hujazipata habari za Yesu kubatizwa na kwamba yeye ndio njia ya kweli na uzima?

Kwasababu umezipata, vipi umesha okoka?

Unasubiria nini?

Hazina ushawishi eti?

Basi hali ni hivyo hivyo hata kwenye habari za allah kwa wengine wasio husika na imani hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…