Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Juzi tu nilienda mtwara,wakati narudi gari iliharibika somanga nikamuomba kijana mmoja anioneshe guest house akanipeleka akaomba hela nikampa,akaniuliza jina nikamtajia(si halisi)akafurahi sana na kusema kumbe ni muislam mwenzake kisa jina la hassan!nikabaki nashangaa jinsi watu walivyotekwa na udini!
 
Kama mtu angekuwa anazaliwa akiwa na dini yake tayari, basi wengine ingebidi wazaliwe bila foreskins
 
Nimekupa hoja hapo ya kuonesha mazingira gani yanaweza kusababisha ushindwe kumjua mbunifu

Sio kila mtu anapenda kuwekwa public

Sio kila neno lilitotungwa linaweza kunulikana na wote

Chukulia mfano wa hapa hapa bongo kuna maneno recently mangapi ambayo yanabuniwa na watu na yanatumika kila siku ila haijulikani mtunzi?

Neno demu, msela, mrume, vishoka, kudanga nk.

Maeno hayo bila shaka ushawahi yasikia na unaelewa yakitajwa yana maanisha nini na si ajabu miongoni mwa maneno hayo hata wewe unayatumia

Vipi unabisha kwamba maneno hayo hayajabuniwa na watu?

Bila shaka huwezi kubisha

Vipi unawajua waliobuni hayo maneno ni kina nani?

Huwajui eeh?

Sasa kama utashindwa kujua mbunifu wa maneno ya miaka ya karibuni utawezaje kujua maneno ambayo yana miaka elfu?

Sasa kama utataka kulazimisha hapa kwamba kila neno lazima liwe na muundaji na asipo julikana basi neno hilo lilikuwepo na halina chanzo itabidi uniambie nani mtunzi wa neno Mziki, Kilimo, nk. Kitu ambacho najua huwezi

Kama huwezi kujua inventors wa hayo maneno basi huna authority ya kupinga hoja yangu kwa kigezo cha kutomjua mbunifu wa neno DINI
Poa.
 
Kuna namna gani nzuri na iliyo bora ya kuhoji zaidi ya kudai uthibitisho?

Mara ngapi humu mmeshindwa kuthibitisha hizi habari?

Au nikupe nafasi ujaribu bahati yako leo pengine hapo kati kati umepata majibu sahihi?

Haya thibitisha Allah yupo
Hatujawahi kushindwa kuthibitisha humu ndani zaidi ya nyinyi wakanushaji kukimbia na kubisha bila hoja.

Mimi nakuuliza swali moja tu, unataka uthibitishiwe mara ngapi juu ya uwepo Allah ? Humu tushafanya hilo na mwisho wa siku mnakimbia vivuli vyenu.

Hapa nakuthibitishia ya kuwa Allah yupo.

34. Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli.

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?

36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. (at-Turi : 34-36)
 
Jibu swali nililo kuuliza.

Kingine jifunze kutofautisha.
Swali limejibiwa kwa swali

Sina haja ya kutofautisha kilicho zungumziwa, nacho angalia mimi ni principle iliyotumika kufikia hitimisho

Nambie hivyo vitu unavyokuabaliana navyo kuwa vipo havina muundaji?
 
Uliza kwanini amesema hivyo sio unakuja na kuhukumu,, kitu usichojua ,, Ali Kiba yupo sahihi kabisa kwa mujibu wa imani na mafundisho ya kiislamu na vitabu vyake vinasema hivyo Sasa Kama hutaki Basi !!
 
Swali halijibiwi kwa swali mpaka likidhi vigezo, yaani liwe linatoa jibu kwa kinyume chake na swali hilo liwe moja kwa moja kwenye swali husika.

Haja ya kutofautisha lazima ili usikosee, sababu hujaona haja ya kutofautisha ndiyo maana umekosea. Mlitakiwa mjifunze elimu ya mijadala vijana na katika elimu ya mijadala ni lazima ukijue kwa undani zaidi kile ambacho amekiengemea mpinzani wako yaani unaye jadiliana nae yaani ukifanyie utafiti wa kina. Sasa wewe Mola mwenyewe humjui halafu kwa ujinga wako una mkanusha hili ni tatizo hata upewe hoja elfu kwa maelfu huwezi kukubali.
 
Hatujawahi kushindwa kuthibitisha humu ndani zaidi ya nyinyi wakanushaji kukimbia na kubisha bila hoja.

Mimi nakuuliza swali moja tu, unataka uthibitishiwe mara ngapi juu ya uwepo Allah ? Humu tushafanya hilo na mwisho wa siku mnakimbia vivuli vyenu.

Hapa nakuthibitishia ya kuwa Allah yupo.

34. Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli.

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?

36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. (at-Turi : 34-36)
Ebu kuwa serious, kwa hiyo huu ndio uthibitisho?

Unanihakikishiaje nikakuamini kwamba hauleti matani kwenye mjadala?
 
Nikajua una hona ya kuonyesha wapi sijathibitisha. Ndiyo maana huwa nasema hivi nyie akili hamna.

Onyesha wapi sijathibitisha, ndiyo maana nakuuliza kila siku uthibitishiwe mara ngapi ?

Ushahidi huo uzuri uko wazi na haukwepeki kwa namna yoyote ile, ukikaa kimya umeshindwa kukanusha na ukijibu hutoki nje ya maswali hayo.

Siku nyingine uwe mkweli, usiseme kwamba tumeshindwa kuthibitisha sema umekataa ithibati.

Sasa mimi nakupa kazi uthibitishe ya kuwa Allah hayupo.
 
Swali halijibiwi kwa swali mpaka likidhi vigezo, yaani liwe linatoa jibu kwa kinyume chake na swali hilo liwe moja kwa moja kwenye swali husika.

Haja ya kutofautisha lazima ili usikosee, sababu hujaona haja ya kutofautisha ndiyo maana umekosea. Mlitakiwa mjifunze elimu ya mijadala vijana na katika elimu ya mijadala ni lazima ukijue kwa undani zaidi kile ambacho amekiengemea mpinzani wako yaani unaye jadiliana nae yaani ukifanyie utafiti wa kina. Sasa wewe Mola mwenyewe humjui halafu kwa ujinga wako una mkanusha hili ni tatizo hata upewe hoja elfu kwa maelfu huwezi kukubali.
Hayo ni maoni yako ambayo sina sababu ya kuyachukulia serious
 
Uliza kwanini amesema hivyo sio unakuja na kuhukumu,, kitu usichojua ,, Ali Kiba yupo sahihi kabisa kwa mujibu wa imani na mafundisho ya kiislamu na vitabu vyake vinasema hivyo Sasa Kama hutaki Basi !!
Kama imani yako inafundisha usipomuabudu Zahanary una matatizo ya akili. Hutakiwi kuwatangazia wengine kuwa wana matatizo ya akili sababu tu hawamuabudu Zahanary.
Inabidi uangalie nini uanaandika kwa uma( uchuje).
 
Hatujawahi kushindwa kuthibitisha humu ndani zaidi ya nyinyi wakanushaji kukimbia na kubisha bila hoja.

Mimi nakuuliza swali moja tu, unataka uthibitishiwe mara ngapi juu ya uwepo Allah ? Humu tushafanya hilo na mwisho wa siku mnakimbia vivuli vyenu.

Hapa nakuthibitishia ya kuwa Allah yupo.

34. Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli.

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?

36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. (at-Turi : 34-36)
Ebu kuwa serious, kwa hiyo huu ndio uthibitisho?

Unanihakikishiaje nikakuamini kwamba hauleti matani kwenye mjadala?
Sasa mr. Kisai, umetupa baadhi ya aya toka kwenye kitabu kilichotungwa na binadamu toka nje ya nchi yetu wakidai mungu kasema nini.
Hicho kitabu ni madai ya binadamu kuwa mungu kasema nini.
Tofautisha madai na uthibitisho mr. Kisai
 
Back
Top Bottom