Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

[Shahada ni kukiri kuwa hakuna kiumbe anaepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah tabaraka wa taala na muhammad ni mjumbe wake.]

Ha...ha...ha TASLIMA,
Kama wao wanasema ni kiumbe wewe nani ubishe ?
Mbona mfalme Zumaridi anaabudiwa, ninini kinacho kushangaza hapo.
Asee ahahahah maajabu yanaendelea.
 
'Wasomao vitabu kabla yako' ni wepi hao ni watu wa zaburi (daudi), taurat (mussa), injil (issa/yesu) je hivi vitabu vya asili vipo au kuna mkusanyiko wa kumbukumbu tu ya maandiko ya vitabu kwa lg tofauti? Mie hadi leo napata tabu jina la yesu ni yesu, jesus, jayzee na wachina sijui wanamwitaje? Ila wewe jina lako ni hilo ulimwengu mzima. Sasa hao wa kuuliz
Katika maelfu ya Mungu muumba inayoabudiwa kila kona ya dunia, ni yupi kati yao aliyehusika na tukio hilo?
ni mungu yule aliejieleza mwenyewe kupitia maneno yake (vitabu vyake) na ana ushahidi uliokubalika kwa uumba wake. mfano katika biblia yesu anasema enyi israeli, bwana mungu wetu ni mungu mmoja' na pale yesu alipolia kwa sauti, eloi, eloi lama sabakhani? maana yake mungu wangu, mungu wangu? mbona umeniacha? katika quran mungu anatwambia 'sema mungu ni mmoja tu'. 'sema, muombeni mungu kwa jina la allah' (17:110)
 
'Wasomao vitabu kabla yako' ni wepi hao ni watu wa zaburi (daudi), taurat (mussa), injil (issa/yesu) je hivi vitabu vya asili vipo au kuna mkusanyiko wa kumbukumbu tu ya maandiko ya vitabu kwa lg tofauti? Mie hadi leo napata tabu jina la yesu ni yesu, jesus, jayzee na wachina sijui wanamwitaje? Ila wewe jina lako ni hilo ulimwengu mzima. Sasa hao wa kuuliz

ni mungu yule aliejieleza mwenyewe kupitia maneno yake (vitabu vyake) na ana ushahidi uliokubalika kwa uumba wake. mfano katika biblia yesu anasema enyi israeli, bwana mungu wetu ni mungu mmoja' na pale yesu alipolia kwa sauti, eloi, eloi lama sabakhani? maana yake mungu wangu, mungu wangu? mbona umeniacha? katika quran mungu anatwambia 'sema mungu ni mmoja tu'. 'sema, muombeni mungu kwa jina la allah' (17:110)
Hata wadau wa hip hop tunafahamu marekani kuna rapper anaitwa Jay-Z ila kwa huku bongo tunamuita Jigga

Lakini sio kigezo cha kuweka extraordinary claims kwasababu ya wingi wa a.k.a

Mi nafikiri busara ni kuweka hoja za msingi zenye ushawishi zinazoonesha uhalisia wa huyo uliyemtaja kuliko kuweka nadharia ya majina na a.k.a zake
 
no hapo amekosa, shahada ni kukiri kwa moyo na ulimi ya kwamba hakuna apasae kuabudiwa isipokuwa ALLAH na Muhammad (SAW) ni mjumbe wake
[Shahada ni kukiri kuwa hakuna kiumbe anaepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah tabaraka wa taala na muhammad ni mjumbe wake.]

Ha...ha...ha TASLIMA,
Kama wao wanasema ni kiumbe wewe nani ubishe ?
Mbona mfalme Zumaridi anaabudiwa, ninini kinacho kushangaza hapo.

Sasa kama jina lake liliandikwa kabla hajaumbwa inamaanisha yeye ndiye binadamu bora zaidi kuwahi kutokea kwa mujibu wa quran na tunapaswa tuige matendo yake.

Je, nikiiga mfano wake kwa kuoa mtoto wa under 10 kama yeye nitakuwa sahihi au nimekosea?
Ni sahihi, kwani nikuulize maumbile za nchi za magharibi hakuna wanawake wa miaka 10 kutokana na maumbile yao akaolewa? ikisha wangapi wenzetu (magharibi) teens mate wanadate? ikisha jiulize mbona wazazi wake waliridhia?, zama hizo hakukuwa na sheria zenu kuangalia umri wao huangalia umbile na akili ya mtu (persolity). mbona yy mwenyewe aliridhia na alimpenda. nadhani ni sawa kwake kuoa
 
usiwe hivyo bro, huyo J-Z ndo jina lake halisi
Hata wadau wa hip hop tunafahamu marekani kuna rapper anaitwa Jay-Z ila kwa huku bongo tunamuita Jigga

Lakini sio kigezo cha kuweka extraordinary claims kwasababu ya wingi wa a.k.a

Mi nafikiri busara ni kuweka hoja za msingi zenye ushawishi zinazoonesha uhalisia wa huyo uliyemtaja kuliko kuweka nadharia ya majina na a.k.a zake

Historically Ukristo ulikuwepo tangu kale uislam ulianza miaka ya 600 kwa hiyo wao walikuwa wakristo wakabadili dini. UTURUKI, Jordan,Siria nk walikuwa wakristo kwanza
tangu kale zipi tupe evidence sio bla bla nyingi
 
Uhuru wa kujieleza ni haki yake kikatiba ndo maana tunataka katiba mpya ila waty wasiongee hovyo km uyo alikiba alivyoongea hovyo
 
no hapo amekosa, shahada ni kukiri kwa moyo na ulimi ya kwamba hakuna apasae kuabudiwa isipokuwa ALLAH na Muhammad (SAW) ni mjumbe wake

Ni sahihi, kwani nikuulize maumbile za nchi za magharibi hakuna wanawake wa miaka 10 kutokana na maumbile yao akaolewa? ikisha wangapi wenzetu (magharibi) teens mate wanadate? ikisha jiulize mbona wazazi wake waliridhia?, zama hizo hakukuwa na sheria zenu kuangalia umri wao huangalia umbile na akili ya mtu (persolity). mbona yy mwenyewe aliridhia na alimpenda. nadhani ni sawa kwake kuoa
Mtoto wako wa miaka 10 akiridhia kuolewa na sheikh mwenye miaka 50 utakubali au utakataa?
 
itategemea na zama na umbile la mtoto. kwa zama zile watu walishiba na maumbile yao yalikuwa makubwa basi mtoto wangu wa miaka 10 ningeridhia kuolewa na huyo sheikh ikisha isitoshe zama zile miaka 50 bado kijana wao waliishi sana no epindermic na life stress.
 
Unajua kusoma kweli mkuu?

Point yangu ni kutokiri kwa kutamka shahada.

Kumbukeni mmesema kila mtu anazaliwa muislamu, sasa shahada ni ya nini ?

Mnaona jinsi mnajipinga wenyewe.
mkuu muislam haina haja ya kutoa shahada yy tayari ni muislam. uislam maana yake unyenyekevu (kujisalimisha) kwa mungu na kutoa shahada maana kuitakidi/kukubali kujisalimisha kwa aliekuumba (mungu) muumba.
 
Alibadili si ni uchawi jamani?
Mbona ana leta shiriki katika mambo ya dini!!
sio alibadili ni halbadir ni kisomo cha kusoma ili kuitakidi/kudhihisha jambo mfano mtu kaiba, kafanyiwa ubaya na mengine mengi ndo utaisoma hiki kisomo ila itategemea na nia utakayoiweka kwa mlengwa. si vizuri kusoma mana Mungu hataniwi na wengi hutia mbaya hasa ikiwa ameibiwa au amefanyiwa tendo baya alipize kisasi.
 
Shida ni unanipa maandiko tuliyopokea toka kwa watu nje ya nchi yetu.
Hayo maandiko yameandika dini ni uislamu, shida ni jinsi ya kuthibitisha kuwa waliyoyaandika waliku wanaandika wakifuata maagizo ya Mungu na hivyo kuna Mungu anataka tuwe waislamu.
sikiliza ndugu, mungu humteua yeye mwenyewe wa kumfikishia neno lake (mitume na manabii) na pia huchagua mwenyewe wapi atumike hayo ni mamlaka yake huwezi muamulia wewe hata mbu huwezi kumuumba. Sasa maandiko ingekuwa kwa kila mtu na kila nchi si ingekuwa balaa. Kwa mfano jina la yesu katika biblia ya kiswahili ni tofaut na jina la katika biblia ya kiingereza na pia kichina kwasbb halipo moja la asili ambayo sio biblia ni injil alopema yesu ambayo ipo ilishushwa kwa kiebrania ambapo jina la yesu tungetumia hilo sote. Mfano mzuri quran ni moja ulimwengu mzima na mtume muhammad waislam wote jina ni hilohilo. Kuhusu mungu kusema sote tuwe waislam labda tumuangalie yesu. Yeye anatuambia jitieni nira yangu na mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na MNYENYEKEVU wa moyo. Kama yesu alikuwa mnyenyekevu wa moyo basi na sisi pia, neno uislam maana yake ni kujisalimisha/kunyenyekea kwa mungu. Chengine yesu alikuwa anapenda kufundisha ktk masinagogi na hakuwahi na haitotokea kuingia kanisani jiulize wewe mwenyewe why? Sasa synagoge kwa kiswahili cha katika biblia ni msikiti wa wayahudi, it means yesu aliingia na kufundisha ktk msikiti. Kama ni hivyo alikuja kufundisha uislam. Ndio maana sie waislam tunampenda yesu hadi kwa vitendo hatulewi, no kitimoto, tunamuomba mungu km yeye, tunafunga km yeye na mengine mengi hii inatuweka wazi kuwa mitume walikuja kufundisha uislam na ndo lengo la kuletwa mitume kwa uislam ni dini yenye mfumo mzima wa maisha (vipi tunatakiwa tuishi). Zile nilokupa mwanzo za quran mungu anataka sote tuwe waislam na mitume wote waliletwa kufundisha dini moja ila tusome zaidi mafundisho tusibishane ovyo.
 
sio alibadili ni halbadir ni kisomo cha kusoma ili kuitakidi/kudhihisha jambo mfano mtu kaiba, kafanyiwa ubaya na mengine mengi ndo utaisoma hiki kisomo ila itategemea na nia utakayoiweka kwa mlengwa. si vizuri kusoma mana Mungu hataniwi na wengi hutia mbaya hasa ikiwa ameibiwa au amefanyiwa tendo baya alipize kisasi.
Maelezo mazuri ila hauja kubali au kukataa kama ni shiriki au laa?
Ni kisomo cha kuwaomba mababu wakiislam walio kwisha fariki wamuadhibu mtu Fulani au kikundi Fulani kwa makosa yaliyo tokeo.
Hii haina tofauti na wachagga na mila zao za kufanya matambiko
 
evidence plz
Sisi kalenda yetu now ni 2022 nyie waislam kalenda yenu ni mwaka 1485 sijui kama nimepatia tarakimu mbili za mwisho
So Ukristo ni Wakale kuliko uislam kwa zaidi ya miaka 600
 
no hapo amekosa, shahada ni kukiri kwa moyo na ulimi ya kwamba hakuna apasae kuabudiwa isipokuwa ALLAH na Muhammad (SAW) ni mjumbe wake

Ni sahihi, kwani nikuulize maumbile za nchi za magharibi hakuna wanawake wa miaka 10 kutokana na maumbile yao akaolewa? ikisha wangapi wenzetu (magharibi) teens mate wanadate? ikisha jiulize mbona wazazi wake waliridhia?, zama hizo hakukuwa na sheria zenu kuangalia umri wao huangalia umbile na akili ya mtu (persolity). mbona yy mwenyewe aliridhia na alimpenda. nadhani ni sawa kwake kuoa
Hata Al-Shababu,wanaikiri sana hiyo Shahada yenu.
Na kwa kwa kukiri kwao huko wanajihesabu ni Waislamu safi.

Hata Majini nao wakiwepo Jini Mahaba, Jini Maimuna na Jini Popobawa wanaikiri hiyo Shahada.
Na wanajihesabu kuwa ni Waislamu safi.
 
Back
Top Bottom