Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Maisha yanampagawisha...wakat mwingine n vyema tu kujibu kwa busara kuliko kuleta taarabu za hovyo....let's wait acha wapambane....wanasemaga mafahari wawil hawawez kukaa zizi moja...
 
Kiba kakosea maisha?basi watanzania matajiri sana

Kiba ananini kinachokutisha wewe? Inawezekana watz sio matajiri ila wewe ndo maskini zaidi.

If anything Kiba anasikika sababu ya kufananishwa na Mondi otherwise Kiba kama msagasumu tu.

Kiba haendelei sababu hajitumi asitafute mchawi nani, amuulize Rich Mavoko na wote waliosema Ruge anawanyonya leo wapo wapi kama kweli walikua wananyonywa.
 
Unasema Kiba kama Msaga sumu kwenye muziki au kwenye pesa??

Naomba uniweke sawa hapo.
 
Ivi seven mosha kama manager umeruhusu msanii wako kuchafua brand kwa mipasho? Halafu tukisema utasema wanawake wanaonewa kuna tofauti kubwa sana kati yako na babutale.
 
Back
Top Bottom