kuna kipindi huu uzi ulikuwa unatrend sana wakaona wawe wanafuta comment zetu, watu wakaishiwa pozi hadi sasa uzi upo mdogomdogo, wakaona haitoshi uzi wakaupeleka entertainment mpaka juzi tukaongea na mkulu wakaurudisha celebrity, hawa mods kama ni wanaume itakuwa wanatumia kichwa cha chini kufikiri kama wanawake sijui wanafikiri kwa kutumia niniMod sio mmoja tu mkuu...ni zaidi ya mmoja kwa jukwaa moja.
Vipi tena, umefanyiwa figisufigisu nini peterchoka, sema tukusaidie
Ni nani aliyekuuliza?
Halafu ulivyo na chuki kali dhidi yake hadi unajichoresha tu....
Eti Ali Kiba sio mwanamuziki?
Nimecheka sana!
kwahiyo kumbe demu akitembea na jamaa fulani anakuwa mzoga, kuwa na adabu kwa dada zetu kijana, hata mama yako ashaliwa na njemba kadhaa kabla ya babaako, naye ni mzoga?Kuimba Karaoke doesn't mean kuwa wewe ni mwanamuziki, wengine tunaimba sana Karaoke bar lakini hatujiiti wanamuziki, tunaimba kujifurahisha tu na Kiba is like this isipokuwa yeye alibahatika kuapata watu wa kumbeba. Hivi Nifah unajuwa Kiba mwenyewe anajitambua kuwa si mwanamuziki na ndiyo maana anajitahidi kwa juhudi zote kutafuta mizoga ya Diamod ili wamweke juu.
Hebu tuachane na mziki kwanza.Kuimba Karaoke doesn't mean kuwa wewe ni mwanamuziki, wengine tunaimba sana Karaoke bar lakini hatujiiti wanamuziki, tunaimba kujifurahisha tu na Kiba is like this isipokuwa yeye alibahatika kuapata watu wa kumbeba. Hivi Nifah unajuwa Kiba mwenyewe anajitambua kuwa si mwanamuziki na ndiyo maana anajitahidi kwa juhudi zote kutafuta mizoga ya Diamod ili wamweke juu.
Umetisha!!!Wanamuziki wengi wanaudai mziki ila ali kiba yeye ndo anadaiwa na mziki. ..mziki unampa vingi kuliko alivyoupa mziki. ..
yaani dadaake nasikiliza mahojiano ya kiba hapa siamini masikio yanguUmetisha!!!
Mie pia nilisikiliza kidogo kakae...yaani dadaake nasikiliza mahojiano ya kiba hapa siamini masikio yangu
Halafu ngoja nikatafute alichokisema Adam Juma.jamaa yupo poa sana, halafu kiba sio muongeaji so watu wanahisi kama anaringa vile, leo lupela tour inaendelea efm saa 6-9 na dina, watu wenye kazi zao kina adam wameelewa kazi nashangaa mtu anaandika tu mbovu anataka tumuelewe
Unajua nini kaka kuna watu wa chuki binafsi tu na mshikaji. Hii ngoma Kali sana.jamaa yupo poa sana, halafu kiba sio muongeaji so watu wanahisi kama anaringa vile, leo lupela tour inaendelea efm saa 6-9 na dina, watu wenye kazi zao kina adam wameelewa kazi nashangaa mtu anaandika tu mbovu anataka tumuelewe
Nadhani hujamuelewa muuzasura....anamaanisha kuwa jamaa hajadeliver bado inavyotakiwaUmetisha!!!
Nani aliyekuambia sijamuelewa?Nadhani hujamuelewa muuzasura....anamaanisha kuwa jamaa hajadeliver bado inavyotakiwa
kwahiyo kumbe demu akitembea na jamaa fulani anakuwa mzoga, kuwa na adabu kwa dada zetu kijana, hata mama yako ashaliwa na njemba kadhaa kabla ya babaako, naye ni mzoga?
Hebu tuachane na mziki kwanza.
Hivi kuna mzoga kama Zari?Jizee alilolikuta na njemba 3 utathubutu kumfananisha na mrembo Jojo?
Uwe basi unaangalia cha kusema maana unatupa wengine kazi za kujiuliza upopoma wako.
Ndo uwezo wako wa kufikiri umegota hapo!Wengi wao ni mbumbumbu
Ndo uwezo wako wa kufikiri umegota hapo!
Acha kujibizana na mbwa wa king KIBANdo uwezo wako wa kufikiri umegota hapo!
Mwambie aache kumwaga chini amtie mimba basi tujue kwel ni demu wake" au kiki tuHebu tuachane na mziki kwanza.
Hivi kuna mzoga kama Zari?Jizee alilolikuta na njemba 3 utathubutu kumfananisha na mrembo Jojo?
Uwe basi unaangalia cha kusema maana unatupa wengine kazi za kujiuliza upopoma wako.