Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hapo swali la Dimond linatoka wapi...

Swali linasema Kama mnamuita ally kiba mfalme, Je ni mfalme wa nini??

Siwajibiki kujibu swali lako,wala silazimishwi!Nipo hapa kumshauri kiba!!Ushauri mwingine juu yake,apuuze uzushi wote na matusi anayotukanwa ni sehemu ya changamoto ya kazi!
 
nimegundua humu kuna watu watano tu wanachangia kwa ID zao na za kuchakachua, ni kazi sana kuumua mkate kwa pombe
 
Ali Kiba ndio yule mwanmziki mkongwe, kwani bado anaimba Ali Kiba?

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
nimegundua humu kuna watu watano tu wanachangia kwa ID zao na za kuchakachua, ni kazi sana kuumua mkate kwa pombe

Acha kuchekesha umeishiwa hoka unakimbilia id wataje basi kulia lia hapa
 
the same question applies to you, kiba si anajua mziki kuliko mond?? why all this effort??? jipangeeeeeee

Haiwezi kuwa the same na nyie tumieni hizo effort kwa domo wenu eeh na kweli anajua sana huyo wenu anategemea skendo kiba ni mziki still ana bamba sana na mtazidi kuumia sana tangia fiesta mnaweweseka tu akitajwa kiba mwapaniki hiyo ni introduction tu bado main body
 
Mhhhhhhhh sasa huyu King alikua wapi siku zote????????
Kasubiri wenzake wamekaa kwenye game eti "The king is back...

Ali Kiba tunajua una sauti nzuri ila you were having all the time hukuweza kutumia
usilazimishe kurudi kwa nguvu just let the nature do its course.. ni sawa na sa hizi
Afande Sele arudi aanze kusema "Mfalme wa Rhymes" nimerudi" Ni kitu hakiwezekani
Kila mfalme na wakati wake..

Ali Kiba hajafanya nini ? au mpaka na yeye abebe mzigo.
 
Back
Top Bottom