Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Yaani ni shida kiba ni km oxygen xo bila kumtaja utakufa watu wanajishaua tu uzi unamuhusu mtu mwingne bt utakuta jina la kiba na mashabiki wake wanajadiliwa kweli nmeamin kusoma kuelewa

wanaanzaje sasa kuishi bila kumtaja king wao!! KING KIBA kimbiza baba, watakuelewa tu
 
wanawazimu hao

tena sio kidogo, alafu wanasema cc tuna chuki wakati chuki wanaipandikiza wao na ufikiri wao finyu na kutokujua kusoma alama za nyakati, utadhani wameambiwa au wanashindana kucomment ktk kila uzi unaoanzishwa!!! mfyuuuu wajifunze kuwa na kiasi too much of everything is harmfull, vingine km hujui nyamaza tu, hapa ni kiba's fans km sio fan na una chuki zako soma alafu poteaaaa, km una cha maana comment huna pita km umeona kinyesi barabarani japo harufu ishakupata
 
Atoto weweee unaongea ukweli mpaka watu wanaumwa!!.Mamaa wee Kiba anawapa sana pressure watu jamani!!Wafanye yao tufanye yetu wanashindana na upepo jamani!!Haaa chuki ndo mdudu gani!!mi najua Upendo tuuuu...
 
Jamani,Kiba wewe unachambwa sana jamani!!Ni kweli wewe huna nyota!Ni kweli hujui!Ni kweli unabebwa?kama ni kweli mbona katika thread zao zote hawaishi kukujadili na kukupanda kama farasiii!!wewe unawakosesha raha!Wewe unawauma akili na moyo!.Wewe Ally wewe,unawakosesha usungizi!Nasikia wewe ni Kiboko yao!,nasikia una kipaji cha hali ya juu!...Nasikia wewe una mvuto matata!!Ndo maana wanasema wapo internationally lakini mbona wamekujaza vinywani mwao kama meno!?Unawapa kwikwi ujue!Unawapa heartattack!unawapa mtimanyongo wewe!!AAAhhh ivi unaitambua potential yako wewe!,unajua wewe ni madini hatariiii!!Unajua wewe una nyota ya jaha!!Amka amka!ukimya wako huooo...amka please!!Amka for us!!(Waraka)uwiii
 
mkuu sina chuki na mtu sababu nawapenda wote wawili kiba na chibu

sasa uliposema umepotea ulikuwa unamaana gani!??? km ww ni shabiki wa wote hapa ukija unakuwa kikiba kiba huyo mwingine unamuacha mlangoni, ukitoka unamchukua unaondoka nae, sasa lete maneno na ushauri kwa Kiba, welllcome
 
Atoto weweee unaongea ukweli mpaka watu wanaumwa!!.Mamaa wee Kiba anawapa sana pressure watu jamani!!Wafanye yao tufanye yetu wanashindana na upepo jamani!!Haaa chuki ndo mdudu gani!!mi najua Upendo tuuuu...

ndio unisaidie kushaa mama, wanalalama kuwa sisi tuna chuki kumbe wao ndio wanazo(yamjazayo mtu ndio yamtokayo) sie hapa ni peace n love, hayo mengine hayatuhusu, hapa ni kiba tu kama humpendi pita km mtoto aloiba mnofu wa nyama maana hawezi pendwa na kila mtu
 
Jamani,Kiba wewe unachambwa sana jamani!!Ni kweli wewe huna nyota!Ni kweli hujui!Ni kweli unabebwa?kama ni kweli mbona katika thread zao zote hawaishi kukujadili na kukupanda kama farasiii!!wewe unawakosesha raha!Wewe unawauma akili na moyo!.Wewe Ally wewe,unawakosesha usungizi!Nasikia wewe ni Kiboko yao!,nasikia una kipaji cha hali ya juu!...Nasikia wewe una mvuto matata!!Ndo maana wanasema wapo internationally lakini mbona wamekujaza vinywani mwao kama meno!?Unawapa kwikwi ujue!Unawapa heartattack!unawapa mtimanyongo wewe!!AAAhhh ivi unaitambua potential yako wewe!,unajua wewe ni madini hatariiii!!Unajua wewe una nyota ya jaha!!Amka amka!ukimya wako huooo...amka please!!Amka for us!!(Waraka)uwiii

hahahaaa!!! waraka safi sn, maneno kuntuuuu!!! Kiba amka bwana watu wanajifanya hawakutambui huku hawaishi kukusema, hiyo ni ishara toshaaa kuwa umewapa homa wanatetemeka balaa, sasa fanya mambo ya maana ili wazimie kabisaaa
 
tena sio kidogo, alafu wanasema cc tuna chuki wakati chuki wanaipandikiza wao na ufikiri wao finyu na kutokujua kusoma alama za nyakati, utadhani wameambiwa au wanashindana kucomment ktk kila uzi unaoanzishwa!!! mfyuuuu wajifunze kuwa na kiasi too much of everything is harmfull, vingine km hujui nyamaza tu, hapa ni kiba's fans km sio fan na una chuki zako soma alafu poteaaaa, km una cha maana comment huna pita km umeona kinyesi barabarani japo harufu ishakupata

mi sasa hv nshawatia kwenye dustibin
 
Jamani,Kiba wewe unachambwa sana jamani!!Ni kweli wewe huna nyota!Ni kweli hujui!Ni kweli unabebwa?kama ni kweli mbona katika thread zao zote hawaishi kukujadili na kukupanda kama farasiii!!wewe unawakosesha raha!Wewe unawauma akili na moyo!.Wewe Ally wewe,unawakosesha usungizi!Nasikia wewe ni Kiboko yao!,nasikia una kipaji cha hali ya juu!...Nasikia wewe una mvuto matata!!Ndo maana wanasema wapo internationally lakini mbona wamekujaza vinywani mwao kama meno!?Unawapa kwikwi ujue!Unawapa heartattack!unawapa mtimanyongo wewe!!AAAhhh ivi unaitambua potential yako wewe!,unajua wewe ni madini hatariiii!!Unajua wewe una nyota ya jaha!!Amka amka!ukimya wako huooo...amka please!!Amka for us!!(Waraka)uwiii

achana nao NGONO PROJECT
KUKAA KKIMYA NI JIBU LA MJINGAA
 
Mlinzi wa zamu nimerudi...Mama Ghasia ametia aibu!!ha ha(sorry Atoto)
 
Back
Top Bottom